Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 77,671
- 167,734
nenda hospitali ukafanye booking ya mke...hata mi naona wanawake wameisha
omba mungu akupe macho ya kuona.nimetafuta mke wa kuoa sasa mwaka wa pili sasa sijapata wala siwaoni wanawake je wanawake siku hizi wanaishi sayari gan?i msaada anayejua walipo.
Napita tu
unaenda wap? Tukusindikize.