Nimetafuta kazi mwenyewe kwa muda mrefu maji yamezidi Unga

Nimetafuta kazi mwenyewe kwa muda mrefu maji yamezidi Unga

excel

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
22,434
Reaction score
17,861
Nimetafuta kazi mwenyewe kwa muda mrefu sana naona maji yamezidi Unga

Naja kwenu JF Experts mnisaidie kutafuta ajira hapa na Pale katika field za Logistics and Transport

Napatikana Jijini Mwanza, itapendeza zaidi nikifanikisha hapa maana siwezi kusafiri kwenda Mbali kwa sababu ya mzazi wangu.
 
Ni motisha tu wala sio rushwa

nimetafuta kazi mwenyewe kwa muda mrefu sana naona maji yamezidi Unga

Naja kwenu JF Experts mnisaidie kutafuta ajira hapa na Pale katika field za Logistics and Transport

Napatikana Jijini Mwanza, itapendeza zaidi nikifanikisha hapa maana siwezi kusafiri kwenda Mbali kwa sababu ya mzazi wangu.

View attachment 3294618
Ondoa hiyo pesa

Weka qualifications zako
Umri
Uzoefu
Mawasiliano
 
Ondoa hiyo pesa

Weka qualifications zako
Umri
Uzoefu
Mawasiliano
asante kwa ushauri mkuu

CV kwa ufupi

Bachelor Degree in Logistics and Transport

Experience in different fields
Store keeping,
supervising mass labourers,
Security Guard industry...
Sales cum Cashier

Further details found in my CV
 
Hiyo laki ni mtaji tosha ukiwa serious
Hakika!
Anaenda kujumua chupi za 80,000. Akiuza zote anapata faida mara mbili 160,000.
Ndani ya mwezi akiuza mzigo mara 4 = 160,000 × 4 = 640,000.
Mwaka una miezi 12, kwahiyo 640000 x 12 = 7,680,000.
Kwahiyo hapo ashindwe yeye tu.
 
Unaweza kuifanya hio pia mkuu.
Business is not for everybody
 
Endelea kukaa tu huko mwanza uone kama kazi zitakufuata.
 
Back
Top Bottom