Nimetafakari sana juu ya uwezo wa Askari Polisi

Sio alikuwa sehemu ya wazi tu bali pia alikuwa kipande cha mtu angekuwa kimbau mbau ingekuwa kazi nyingine
 
my point is walishtukizwa. usualy kwa maadui wengine wanakuwa wameshajipanga.
Hata mbishe za majambazi wanakuwa na taarifa wameshajipanga.
Na kama wangekuwa wameshajipanga, hamnza asingetoboa hatua kumi.
Hamza lile lilikuwa jeshi LA MTU mmoja,hakuna kuleakisha taarifa ,afu yule atakuwa ni wale wasomali halisi originated in somalia,

Acha hao wasomali Wa Djibouti hawana roho ngumu kama warrior ya Mogadishu.
 
Hapo nyumbani kwako kila siku unaweza ukawa unampiga mke wako lakin siku moja tu akakufanyia ambush akakutandika mtwangio wa kichwa na hapo ndo ikawa mwsho wa habari yako lakin haimaanishi haukua na uwezo wa kupambana nae ila ilikua surprise
Umeelewa dogo?
 
Kwani si wapewe Bastola kama askari wa marekani jamani hii mitutu saa nyingine kama mamizigo bhana kitambo aiweke sawa akunyooshee Adui kashachomoa bastola kamuwahi ya kichwa then anawapora mitutu yao Mitutu iwekwe kwaajili ya vita iliyopamba moto ila bastola itumike kwenye ulizi huu wa kawaida na doriya.
 
Hamza lile lilikuwa jeshi LA MTU mmoja,hakuna kuleakisha taarifa ,afu yule atakuwa ni wale wasomali halisi originated in somalia,

Acha hao wasomali Wa Djibouti hawana roho ngumu kama warrior ya Mogadishu.
hujaandika logic yoyote hapo zaidi ya kusifia mtu. angetoa taarifa kuwa atauwa polis matokeo yangekuwa tofauti
 
Unapokuwa polisi au mwanajeshi unatakiwa uwe umejiandaa 24/7.
hiyo state unakuwa tu wkt wa vita au wkt wa kwenda kufanya operesheni. huwa wanakuwa alerted kabisa
ndio maana wajesh hawatembei na silaha hovyo au grenades na flares barabaran kisa wako tyr muda wote nope..
polis the same.. ndio maana huwa habebi silaha muda wote.

kuwa ready 24/7 hakukuepushi na ambush. ambush haina taarifa so hutokea
 
mnajuaje nyinyi raia!!!mambo ya kambini huko ni siri yao.
unajuaje mm ni raia? au umecomnent tu kujifurahisha?
hiyo kitu sio siri kwa waliopitia jkt tunawajua..it happens nilikuwa na watoto wa vigogo na ndugu ..wapo.
 
Mwizi au jambazi hujui muda gani anakuja kwahiyo unatakiwa uwe tayari 27/7. Siku ambayo unasubiri ujiandae ndipo jambazi anakuja.
Penye udhaifu ndipo mhalifu anapitia hapo hapo kwahiyo inabidi ujiandae 24/7.

Kwa wanajeshi ni sawa, Maana vita huwa haitokei hivi hivi mpk pawepo mkwaruzano.

Kazi ipo kwa polisi wanatakiwa wapo tayari 24/7 na hawapaswi kufanya kazi kwa mazoea.

hiyo state unakuwa tu wkt wa vita au wkt wa kwenda kufanya operesheni. huwa wanakuwa alerted kabisa
ndio maana wajesh hawatembei na silaha hovyo au grenades na flares barabaran kisa wako tyr muda wote nope..
polis the same.. ndio maana huwa habebi silaha muda wote.

kuwa ready 24/7 hakukuepushi na ambush. ambush haina taarifa so hutokea
 
Kula silaha ina mahali pake.Kuna baadhi ya operation unatakiwa kutumia snipers riffle.Sasa unatumia AK 47 kumvizia mtu mkatika mazingira kama yale.Very unprofesional.

Pale ilibidi mtu mmoja abane mahali na snipers riffle one shoot one kill.Biashara imeisha
 
lakini eneo la tukio si tunaambiwa la kiusalama zaidi.mapolisi wapo kibao pale wnalinda.mbele kidogo kuna ofisi ya usalama wa taifa kama sikosei halaf si kuna nyumba za maafisa wastaafu jirani na hapo hilo eneo ulinzi wake si wa kitoto ingekuwa nchi ingine isingechukua dakika nyingi wangemkamata au kumuua polisi wetu umakini sifuri wana stress nyingi mpaka wanajisahau wawapo kazini
 
Ukisikia polisi wameua jambazi wakati wanarushiana risasi.

Shika kichwa, fumba macho,hapo kilichotokea,ni kwamba hao majambazi walikamatwa, wakapperekwa sehemu wakawa executed in cold blood,hiyo ndio "modus operandi"ya polisi yetu.uongo uongo mtupu
,Sema man sema .
 
Watu waliopata Zero unategemea wanaweza kufanya lolote la maana? huko ni vituko ndiomaana hata kwenye zoezi la vyeti feki waliamua kuwaacha tu maana wangewavua manyota yote , kina muroto na mikwala yooote ile uliza ana elimu gani utakimbia
 
ninaowaheshimu ni jwtz pekee hao wengine mjomba kanituma
Kila sehemu kuna watu walioiva vizuri na mananga pia wapo, nimewahi kushuhudia askari wa JWTZ anababaika kufungua SMG mpaka anapewa msaada. Wakati wa kupiga shabaha ndo utafurahi.
 
unajuaje mm ni raia? au umecomnent tu kujifurahisha?
hiyo kitu sio siri kwa waliopitia jkt tunawajua..it happens nilikuwa na watoto wa vigogo na ndugu ..wapo.

hatufurahishani hapa,tunaweka facts mezani.

hii dhana kwamba ni jeshi pekee ndio limebaki na nidhamu,ni sababu unaamua kufukia kichwa mchangani na kuacha kiuno hapo juu.
 
Mimi kwa ushauri wangu yule mwenye sharti jeusi alitakiwa awe na hand grenade arusha badala ya kutumia pistol inhemsaidia kuwa salama otherwise ilikua hakuna sababu ya kusogea pale.

Pili pongezi kwa askari aliye vaa kombati ya kijani pale ndani ya ukuta wa kwanza kukimbia baada ya hamza kuanguka .tatu siku nyingine mmngeenda na 12.7mm mkapiga risasi moja naamini Hamza kalala angejisalimisha baada ya kusikia mlio wa 12.7mm.
 
Laana za waPemba hizo zinawaandama polisi,polisi ambao nyakati za uchaguzi wao ndio wanaohesabu,wao ndio wanalinda kura,wao ndio wanaokimbia na masanduku ya kura wakiondoka nayo kwenye vituo,hili tukio limewafariji wapemba vibaya sana.
Pointless kabisa
 
Kuna kisa kilisharipotiwa humu askari kutumia risasi 48 kumuua fisi, kisingizio ikawa ni kwamba alikuwa anakwepa risasi.......anyway tuwape muda.
 
Back
Top Bottom