Baba_Enock
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 7,076
- 2,445
Sasa unataka KATIBA MPYA itupangie hata muda wa kenda kuoga...!
wala siyo serious mda wote bibie wengine wanatumia kama defence mechanism ili kukwepa majukumu yao ambayo ndo ya mhimu kuliko ata kazi,mzazi anaonekana uck tu ata wkendi ubusy gani huo atii!
Katiba?????????iwekwe haya???????
wewe unajua maana ya katiba????????
Huenda ni mtoto wa mmoja wa wasaidizi wakeHahaa hahaa hivi huyo mtoto wa nani au Sasha tayari kapata kitoto nini!
Nimekutana na hii picha ya Obama akikimbizana na mtoto mdogo ikulu. unajua ni nadra sana kwa kiongozi wa taifa kufanya mambo kama haya. huu ni uvivu wa kufanya kazi ama ni mapenzi kwa watoto?. Na Tanzania je , katiba inaruhusu kufanya mambo kama haya? tupia maoni yako Mdau..
View attachment 73499
hivi jamani kwani mtu akiwa rais ile hali ya ubinaadamu inamtoka?
Yani umeona hiyo picha n u think thats what happens everyday/everytime??? C'moooooooooon!!