nimetafakari saanaa! nikakoswa jibu!

May 5, 2012
68
0
Nimekutana na hii picha ya Obama akikimbizana na mtoto mdogo ikulu. unajua ni nadra sana kwa kiongozi wa taifa kufanya mambo kama haya. huu ni uvivu wa kufanya kazi ama ni mapenzi kwa watoto?. Na Tanzania je , katiba inaruhusu kufanya mambo kama haya? tupia maoni yako Mdau..

potus.jpg
 

Lateni

JF-Expert Member
Jun 11, 2012
677
225
hili sio swala la kikatiba, ni matakwa tu ya mtu na muda wake ,
 

kizaizai

JF-Expert Member
Mar 31, 2010
3,683
2,000
Muda wote yupo IKULU ikitetea TAIFA lake, bilashaka hapo pembeni kuna watu wamekuja na mawazo, ushauri na mipango mbalimbali kuhusu USA. So baada ya majadiliano little entertainment sio vibaya.
 

Chum Chang

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
1,000
0
Hiyo ndio natural yake na alijikataza kubadirika na Hawa Wamarecan wamemkubari jinsi alivyo huyo ndio Obama wa kule africa ya mashariki nchini Kenya
Ukiandika katiba nashindwa kukuelewa na umesabaisha niwe na mswali lukuki moja unaonekana ujui nini katiba na kwanini kuna katiba ili katiba iwepo kuna tatizo gani Rais akifurahi na watoto au familia yake?
Rais ni kama mtu mwengine yeyote ana uhuru na haki ya kuwa kama yeye kama hatoivuruga nchi au kutenda kosa la jinai
 

CHUAKACHARA

JF-Expert Member
Jun 3, 2011
12,369
2,000
Makubwa!!!!!!!!!!!!Katiba itamke kuwa Rais asicheze na watoto wadogo! Jamani hii katiba ni kitu gani! Tafakari chukua hatua!!
 

TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
4,078
2,000
Anapunguza stres, anakuwa namawazo sana soo ikulu wanampa msaada akiwaza israel anajenga 3000 makazi eneo la palestina,uchumi,usalama kichwa kinapasuka.
 

Caroline Danzi

JF-Expert Member
Dec 19, 2008
3,618
1,225
Wabongo tunakufa mapema kwa sababu ya kuwa serious all the time. Mwache akimbizane na watoto baba wa watu!!
 

BROO

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
360
195
Rais anaejali watu wake!

Sent from my BlackBerry 9360 using Jamie's
 

Jagarld

JF-Expert Member
Apr 7, 2011
1,980
2,000
Wabongo tunakufa mapema kwa sababu ya kuwa serious all the time. Mwache akimbizane na watoto baba wa watu!!
wala siyo serious mda wote bibie wengine wanatumia kama defence mechanism ili kukwepa majukumu yao ambayo ndo ya mhimu kuliko ata kazi,mzazi anaonekana uck tu ata wkendi ubusy gani huo atii!
 

jamiif

JF-Expert Member
Apr 30, 2012
2,409
1,195
haina tabu mi naona poa tu..kama kazi anapiga fresh, na wamarekani wanamkubali...hako ni ka recreation kadogo kadogo jamani!
 

jamiif

JF-Expert Member
Apr 30, 2012
2,409
1,195
kwanza hii picha nina mashaka nayo!!mbona kama ni mambo ya foto shop vile?mh!!!
Nimekutana na hii picha ya Obama akikimbizana na mtoto mdogo ikulu. unajua ni nadra sana kwa kiongozi wa taifa kufanya mambo kama haya. huu ni uvivu wa kufanya kazi ama ni mapenzi kwa watoto?. Na Tanzania je , katiba inaruhusu kufanya mambo kama haya? tupia maoni yako Mdau..

View attachment 73499
 
Thread starter Similar threads Forum Replies Date
Amavubi Nimetafakari Sana kwa Picha Hii Jamii Photos 8
Similar threads

Top Bottom