nimetafakari saanaa! nikakoswa jibu!

wala siyo serious mda wote bibie wengine wanatumia kama defence mechanism ili kukwepa majukumu yao ambayo ndo ya mhimu kuliko ata kazi,mzazi anaonekana uck tu ata wkendi ubusy gani huo atii!

Madhara ya kutakaa na familia watu wanayachukulia juu juu, baadae mambo yakiharibika wanaanza kushikana ugoni nani kasababisha. Unakuta diary ya baba na mama hairuhusu watoto hata kuuliza swali au kukaa na kufurahi na wazazi kisa pesa!

Hizi pesa zilimuuza Yesu. Tuzitafutie muda siyo kila siku unakimbizana nazo.
 
Hiyo mimi nimeipenda. Ameamua kuishi maisha, na si kujifanya yeye si binadamu bali super being! Hongera Obama. Wengi wa viongozi wangemkemea huyu mtoto. Siku moja Governor mmoja wa America alimpisha mtu mmoja toka Africa kwenye kiti cha Ugavana akimwambia wewe ndiye unayestahili kuketi hapo. Unaonaje na hilo? Si ungeshakunywa sumu?
 
Nimekutana na hii picha ya Obama akikimbizana na mtoto mdogo ikulu. unajua ni nadra sana kwa kiongozi wa taifa kufanya mambo kama haya. huu ni uvivu wa kufanya kazi ama ni mapenzi kwa watoto?. Na Tanzania je , katiba inaruhusu kufanya mambo kama haya? tupia maoni yako Mdau..

View attachment 73499



Unashangaza saana..... this is the best pic.... ila ww u comment bad words.....!!!

This is President of the people....!!! Ni vigumu mno ukakuta Rais awe na moyo kama Obama...!!! Hata watoto wadogo duniani kote wanampenda, wadogo wasioanza shule wanampenda na kumjua....!! He has some power....!!
 
hivi jamani kwani mtu akiwa rais ile hali ya ubinaadamu inamtoka?
 
Yani umeona hiyo picha n u think thats what happens everyday/everytime??? C'moooooooooon!!
 
mazoezi jamani sasa asipofanya mazoezi huyo mtoto atadumaa na pia hata yeye obama afya iatakuwa mgogoro
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom