Nimetafakari kuwa na mpenzi hapa chuo lakini ninazani hizi ndizo zitakua hasara kwangu

Nilikua najuaga kua na demu wa ngazi ya chini ivi kama cheti au Diploma ni afadhali ukivipa maneno tu vinaelewa somo na ukivifundisha ndo unakula kilaini kumbe wee vinavibomu ivo hatari unaskia baby nina hamu na chips,mara nataka kusuka naomba elf 20 kwa kuzungusha kupigwa dudu sasa daaa
 
d

mimi kama mwanafunzi wa chuo kikuu nimetafakari ni bora ni kawa na mpenz hata wa kufarijiana na kupeana mawazo mawili matatu lakini nawaza sana juu ya mambo yafuatayo ,,1]kuombwa pesa,2]kupeana stress ,hasa kama kozi moja 3]out zisizo na msingi, nachoka kuwaona wasichana wengi lakini similiki hata mmoja daaa let me try,,,.

Kumbe wanachuo ndio huwa mnaandika hivi??
Natamani na mimi ningefika chuo kikuu, niyashuhudie hayo usemayo..
 
Followers
1

Zingzingzing

Follow
Ignore
Report

Mtaule mgunda is not following you
Mtaule mgunda

Senior Member, 20, fromsongea

Mtaule mgunda was last seen:
Mar 20, 2017

About

Birthday:
Oct 24, 1996 (Age: 20)

Location:
songea

i want to be rich
Interact

Content:
Find all content by Mtaule mgunda
Find all threads by Mtaule mgunda

Conversation:
Start a Conversation
 
Back
Top Bottom