Nimesingiziwa mimba isiyo yangu, wanawake tuishi nao kwa akili kweli

Yan nami nltaka kmuambia hvyo hvyo...kama Moyo wake unasita...hiyo mimba sio yake...!!mimba huhusika pia kiroho...!!mtoto ana connection na wazazi wake...!!

Mwanamke anatafuta pa kutokea
True mkuu,,huyu binti nahisi ananidanganya tena sana,,roho yangu haikuwa na amani kabisa baada ya kumbana sana baada ya siku mbili mbele ananambia hana mimba eti alikuwa ananipima ,,duh nikabaki natahamaki tu vipi huyu binti?
 
So hii hakuwaza wakati unamla kavu. Ni vipi kama huko alipotoka hapakuwa na usalama kiafya yaani alibeba magonjwa?!

Ukikutana na binti mpya kama una malengo ya kufanya nae maisha ya ndoa then take your time kumjua vema. Date nae. Kuna mengi ya kuyajua kwa mwanamke before haujamfanya kuwa mkeo.

Sasa wewe umekaa nae siku chache tayari ushamchovya. Yanatokea majanga ndio akili inaanza kuwa makini.....

Dah madogo wa siku hizi lakini.
Mkuu nakuelewa sana ,,inabidi kuwa care sana kama usemavyo nikweli kabisa inabidi uchunguzi kwanza,,lakini kwa vile yashatokea sawa ninejifunza tokana na makosa
 
Hahahahaha unafanya mchezo na kitobo nini??? Mtu akiwa anataka kuloweka hata aambiwe nini anaweza kujikuta Anafanya

Ila akili huwa zinaturudia baadae. Sasa hili la kwamba mpk saivi anaamini Coca cola baridi ilizuia mimba ndo la kushangaa kwamba akili haijarudi tu?
Hakili ishachekecha imetosha,,haijapata jibu maana ndo nimekuja jua sahz kumbe ni uongo mtupu
 
dah utajua hujui..leo ndo nasikia coca cola inazuia mimba...nakumbuka beki 3 aliyenifundisha mapenzi alikua akimaliza anajiosha na mpira wa maji kutoa manii..mambo mengi mda mchache
 
dah utajua hujui..leo ndo nasikia coca cola inazuia mimba...nakumbuka beki 3 aliyenifundisha mapenzi alikua akimaliza anajiosha na mpira wa maji kutoa manii..mambo mengi mda mchache
Duuuh!! Mkuu mambo ya wanawake ni kesi tupu!!!
 
sio sifa mzee...kitendo cha kuamini coca inazuia mimba...ni either we mtoto au ndo wale wanaamini malaya hana ukimwi kisa amekwambia anakaa na wazazi..lea mtoto
Mkuu nishafanya kosa nimejifunza nawala sitorudia kwa mtu mwingine
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom