Nimesingiziwa mimba isiyo yangu, wanawake tuishi nao kwa akili kweli

Hapo umepigwa mzee! Maana danger zone kwa mujibu wa science ilitakiwa iwe tarehe 15-20 ya mwezi wa 4 ndio yai linaweza kuchavushwa!

Nyie mmekuja kupigana spana tarehe 24 huko ina maana its aidha demu mwenyewe ajielewi mzunguko wake vizuri au aliuza mechi kabla hajakuletea mbunye! Ila kwa hizo tarehe alizosema ilitakiwa awe ame exit danger zone kwa sababu hata ukipiga siku 7 za yai kuwa tayari ilitakiwa baada ya tarehe 22 muambulie bila bila!

Af Sayansi za mwituni za kutumia coca wakat p2 zipo ni upumbavu! Ungenunua P2 ni buku 5 tu yeye mwenyewe atakuwa anazijua ila kakuona ndezi akupe msala!
Yan nami nltaka kmuambia hvyo hvyo...kama Moyo wake unasita...hiyo mimba sio yake...!!mimba huhusika pia kiroho...!!mtoto ana connection na wazazi wake...!!

Mwanamke anatafuta pa kutokea
 
Mimba gani hiyo inaingia siku ya 18 ya mzungumko wa hedhi halafu ndani ya wiki mbili mhusika anasema ana mimba yako?
Toka lini soda ya Cokacola ikazuia mimba?

Hakuna sayansi ya kihuni hivyo.
Wewe mwambie huyo malaya akatafute mtu aliyemtia mimba, lakini asilete upumbavu huo kwako.

Usicheke cheke na malaya.
wanawake cku wakikataliwa na michepuko wanatafuta wa kumpakazia
 
Ntaendelea kumpeleleza ikishindikana basi,, lakini me hofu yangu labda kuna jamaa lilkuwa linamega, japo ameniaminisha kwa 100% kuwa mimba ni yangu.
So hii hakuwaza wakati unamla kavu. Ni vipi kama huko alipotoka hapakuwa na usalama kiafya yaani alibeba magonjwa?!

Ukikutana na binti mpya kama una malengo ya kufanya nae maisha ya ndoa then take your time kumjua vema. Date nae. Kuna mengi ya kuyajua kwa mwanamke before haujamfanya kuwa mkeo.

Sasa wewe umekaa nae siku chache tayari ushamchovya. Yanatokea majanga ndio akili inaanza kuwa makini.....

Dah madogo wa siku hizi lakini.
 
  • Thanks
Reactions: _ID
Hiyo mimba ni yako mzee alipata tarehe 24..natamani hata nikutumie pcha ya app ninayoitumia ku-calculate maana mm n mwanandoa na ndio naitumia kupanga uzazi. Hofu ondoa kabisa hiyo ni damu yako lea.
 
Kwahiyo angekwambia ukila mavi manii zinakosa nguvu ya kutungisha mimba ungekula?
Hahahahaha unafanya mchezo na kitobo nini??? Mtu akiwa anataka kuloweka hata aambiwe nini anaweza kujikuta Anafanya

Ila akili huwa zinaturudia baadae. Sasa hili la kwamba mpk saivi anaamini Coca cola baridi ilizuia mimba ndo la kushangaa kwamba akili haijarudi tu?
 
Kaka demu ameanza danger tarehe 14 na akamaliza 21 hapo! ungemgonga tarehe 22 ningeweza sema probability ila demu wako mzunguko wake wa bleed ni siku 4 sio 7 so average ya bleed days na probation ni siku 5!

Kuna room ya siku 7 ambazo zinatosha kabisa kwa yai kushuka na kuwa demolished kabla halijakutana na mbegu! Unaongea na mtu mwenye A ya biology NECTA na mwenye uzoefu wa kutosha na hii mitikasi!
Atakuelewa basi??? Au 😀😀😀😀
 
Hahahahaha unafanya mchezo na kitobo nini??? Mtu akiwa anataka kuloweka hata aambiwe nini anaweza kujikuta Anafanya

Ila akili huwa zinaturudia baadae. Sasa hili la kwamba mpk saivi anaamini Coca cola baridi ilizuia mimba ndo la kushangaa kwamba akili haijarudi tu?
Ndo nashangaa akili zake hazijamrudia
 
Hiyo kinga ya Coca Cola ndio naisikia leo
Halafu nawe ukakubali
Ila wanaume huwa inatuuma kweli yaani ule uroda mara 1 tu au 2 halafu mimba hiyo
At least upige shoo hata mara 10 aisee
Hata mimi sijakubali mkuu,,maana nilipo mbana sana baadae alikuja kuniambia ananipima hanacmimba
 
Alikuambia yuko kwenye siku za hatari na wewe ukafanya bila kinga,yet unakataa mimba. Unamchukuliaje mtoto wa watu? Kwa nn hukutumia kinga?
Lakni mkuu tambua hawa mabinti niwajanja sana usipo tumia akili utafurahi mwenyewe
 
Ilikuwa tarehe 24 ya mwezi wa 4 usiku ndo tulishiriki ngono lakini pia katika kushiriki binti aliniambia nikanunue soda ya Coca Cola kwa ajili ya kutumia kama kinga.
Tatizo limeanzia hapa.. Pili umekula peku so huna namna ya kukataa mimba.
 
Ndugu kubambikiwa hua kunakuwaga na dalili....!!maanake mpaka mtu akubambikie anajipanga kwanza

Kwa mwanamke anayejua yupo kwenye siku zake ni mara chache saana kukubali sex bila kinga (labda km amepania)...

na kama amekuambia mambo ya coca maanake ni anatafuta starting point (yan anakuweka sawa siku akitaka kuangusha jumba ucwe na pa kutokea)

Pia ukiona mwanamke umemuambia kuwa kachelewa period lbd kwa ajili ya hali ya hewa akakazania kuwa ni mimba (kabla hajapima)..!!hiyo mimba ilikuwepo kabla hujapiga

Namaliza kwa kusema....!!inawezekana hata yeye hajui ni ya nani (maybe kulikuwa na wengine....so jaribu kuwaza katka mahusiano kabla ya mimba ushawah kufumania hata text ya mtu yenye utata...kama ni ndio then think twice kuhusu hiyo mimba)
Mkuu unazidi kunifungua macho ,,namimi nakubali kabisa kama ni mimba alikuwa nayo kabla maana kwa kule kumbana sana na kupitia mazungumzo yake kwa simu inaonesha kabisa huyu binti anaakili chafu so usipo kuwa makini inaingizwa cha kike bro
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom