mkuu, taratibu, mambo yanayohatarisha kuibomoa jamii ndo haya tunayoyakemea hapa.Hii thread inastahili kufungwa immediately kwasababu haya mambo yaliyopostiwa humu hayajengi jamii tunayoitaka Tanganyika. Nadhani tunakotaka kuelekea ni kubaya na mkumbuke kuwa:- Mkiambiwa habari yoyote na mtu msiyemjua vizuri(eg. mwana jf yoyote ambaye kimsingi hafahamiki openly may be na member yeyote/wengi/wote) ni sharti habari hiyo ichunguzwe kwa makini sana. Tusihukumu be! kwa sababu ya eeh!
Hapo mkuu wamechemka! au wanafikiri uislamu ni jina...?

Nafahamu kuwa Azam ana ajiri vijana wa dini ya ki-slamu tu kwenye biashara zake nyingi, hasa wale vijana wa ice cream kwenye tricircle.

Ainiumizi kichwa sana, lakini haipendezi hata kidogo.
kwani ni nini? au ni movement
DU! Wabongo kwa kushupalia Udaku ndo wenyewe...yaani kauli ya mlinzi..tena huenda ni mmasai, anaipa uzito mkubwaaaaaa! Kwanini asimtafute mhusika ama msemaji rasmi wa kitega uchumi ili apate uhakika...ama ameshaona kuwa ameshachelewa kutuma maombi ama ameenguliwa wakati wa kushindanisha maombi ndo anakimbilia kulalam ili aonewe huruma!!!!Mkuu Birigita pita hapo na wewe upate data. Nimewaambia nataka kuuza nguo za jumla frm Thailand na sio pombe wala mdudu. Walinzi wakasema "kaka hapa nisikufiche ni kwa waislam tuu, na ukienda watakutajia hadi mmiliki kwa jina"

DU! Wabongo kwa kushupalia Udaku ndo wenyewe...yaani kauli ya mlinzi..tena huenda ni mmasai, anaipa uzito mkubwaaaaaa! Kwanini asimtafute mhusika ama msemaji rasmi wa kitega uchumi ili apate uhakika...ama ameshaona kuwa ameshachelewa kutuma maombi ama ameenguliwa wakati wa kushindanisha maombi ndo anakimbilia kulalam ili aonewe huruma!!!!

hiyo mbona imejificna. Nenda azam kaombe kazi ma ukristo wako kama utapata
ndugu chuki zako hazikusaidii.fanya kazi acha ndoto za kuibuka kwa misaada misaada ya kibaguzi ndiyo iliyomponza gadafi.Roho mbaya zenu ndo zinasababisha tuwachukie we angalia
mfano wa OIC hamtaki tujiunge nayo si kwa lingine isipokuwa
ni kuogopa kuwaona waislamu wakinyookewa na mambo yao
wabaya sana ninyi.

Roho mbaya zenu ndo zinasababisha tuwachukie we angalia

mfano wa OIC hamtaki tujiunge nayo si kwa lingine isipokuwa

ni kuogopa kuwaona waislamu wakinyookewa na mambo yao

wabaya sana ninyi.