Nitapita hapo sasa hivi mkuu!
Ikiwezekana nitarecord sauti kabisa!
Kwani umewaambia unataka kufungua machinjio ya ile mboga mkuu?'
Katika kujitafutia kipato nimeamua kugeukia ujasiriamali. Basi leo nikaamkia Sinza Mori nyuma ya sheli ya Big Bon kuna jengo la gorofa pale nikafika kwa ajili ya kuweka order ya sehemu ya biashara.
Nimepigwa na butwaa baada ya kutaja jina langu walinzi walisema hapa ni kwa waislamu pekee hakuna mkristu atakayeruhusiwa kupanga. Sikuishia hapo nikaomba no. Za mmiliki wa jengo kudhibitisha hio hali akasema mm ni msimamizi hili ni jengo la mkubwa mmoja. Na kweli ni mahususi zaidi kwa watu wenye imani ya kiislamu.
Kama tumefikia huko basi hali ni mbaya. Naomba wengine mkajaribu mpate kuthaminisha habari hii.

Tumia njia mbadala mkuu
Hiyo ya Morogoro Muslim University umenena. Yani hata yale mazingira yanatisha kupita. Ngoja niishie hapa,..Kuna kijana alikuwa anaomba tender pale sun vita ya wiring akaambiwa na mlinzi ukitaka kazi hapa lazima uwe muislam jamaa alikuwa anaitwa josephat akajiita Juma ,akapata kazi kama kuna watu wana Chuki na Ubaguzi ni waislam,Nenda Morogoro muslim university ndio utajua waalimu na wanafunzi wote waislam,hawaishi kusema wananyanyaswa ,muhamadans ni matatizo matupu!