Nimesikitishwa sana Leo na mambo ya udini

Status
Not open for further replies.

NGULI

JF-Expert Member
Mar 31, 2008
4,805
637
Katika kujitafutia kipato nimeamua kugeukia ujasiriamali. Basi leo nikaamkia Sinza Mori nyuma ya sheli ya Big Bon kuna jengo la gorofa pale nikafika kwa ajili ya kuweka order ya sehemu ya biashara.

Nimepigwa na butwaa baada ya kutaja jina langu walinzi walisema hapa ni kwa waislamu pekee hakuna mkristu atakayeruhusiwa kupanga. Sikuishia hapo nikaomba no. Za mmiliki wa jengo kudhibitisha hio hali akasema mm ni msimamizi hili ni jengo la mkubwa mmoja. Na kweli ni mahususi zaidi kwa watu wenye imani ya kiislamu.

Kama tumefikia huko basi hali ni mbaya. Naomba wengine mkajaribu mpate kuthaminisha habari hii.
 
Hili ni la kibaguzi na unaweza kulifikisha kwa Mkuu wa wilaya/afisa tawala/afisa biashara na atachukuliwa hatua za kisheria,haikubaliki na usikae kimya.
Kuna muda Saint Mary's walikuwa wanakodi mabasi sasa mislamu mmoja akakataliwa kwa maelezo wanachukua wakristu tu alipeleka malalamiko wilayani na wakaonywa na jamaa kupata tender.
 
Kama wanaruhusiwa kujenga misikiti kwenye petro station unategemea nini usiishie hapo lipeleke kwa waziri wa viwanda na biashara ili ujue kama serikali imeruhusu wafanyabiashara kutoa maneno ya aina hiyo utasaidi labda kurekebisha hii hali mapema kabla taifa halijagawanyika hiyo ndio LEGACY ya KIKWETE atakayotuachia kwanza kubomoana kwa udini manake ndicho alikuwa akihubiri majukwaani akiomba kura
 
Mkuu Birigita pita hapo na wewe upate data. Nimewaambia nataka kuuza nguo za jumla frm Thailand na sio pombe wala mdudu. Walinzi wakasema "kaka hapa nisikufiche ni kwa waislam tuu, na ukienda watakutajia hadi mmiliki kwa jina"
 
ndugu yangu hiyo mbona ni chamtoto tu, mi siku moja nimeenda kuomba chumba chan kupanga pale nyuma ya mabibo hostel, jamaa aliniuliza JIna kisha akakunja uso na kuniambia hawapangishi wakristo. Nilihuzunika sana. Kweli kuna watu wa ajabu sana nchi hii.
 
Kuna kijana alikuwa anaomba tender pale sun vita ya wiring akaambiwa na mlinzi ukitaka kazi hapa lazima uwe muislam jamaa alikuwa anaitwa josephat akajiita Juma ,akapata kazi kama kuna watu wana Chuki na Ubaguzi ni waislam,Nenda Morogoro muslim university ndio utajua waalimu na wanafunzi wote waislam,hawaishi kusema wananyanyaswa ,muhamadans ni matatizo matupu!
 
Katika kujitafutia kipato nimeamua kugeukia ujasiriamali. Basi leo nikaamkia Sinza Mori nyuma ya sheli ya Big Bon kuna jengo la gorofa pale nikafika kwa ajili ya kuweka order ya sehemu ya biashara.

Nimepigwa na butwaa baada ya kutaja jina langu walinzi walisema hapa ni kwa waislamu pekee hakuna mkristu atakayeruhusiwa kupanga. Sikuishia hapo nikaomba no. Za mmiliki wa jengo kudhibitisha hio hali akasema mm ni msimamizi hili ni jengo la mkubwa mmoja. Na kweli ni mahususi zaidi kwa watu wenye imani ya kiislamu.

Kama tumefikia huko basi hali ni mbaya. Naomba wengine mkajaribu mpate kuthaminisha habari hii.

Tumia njia mbadala mkuu
 
Basi bora wamekwambia live, maana huenda wasingesema ungeingia kichwakichwa na kukutana na vituko vya mwaka!
Kama wanasema jengo hilo(la bishara)ni kwaajili ya waislamu tu inaonyesha kuna mambo fulani ya usiri yatakayokuwa yanafanyika humo ambayo mkristo hatakiwi kujua au hawezi kuvumilia kuyaona!...kuna ibada za ajabuajabu zitakuwa zikiendelea, na huenda ni za kimajinimjini.

Sasa nadhani umshukuru Mungu!
 
Mimi nadhani haya mambo yapo tena siku nyingi, miaka miwili nilinyimwa kupanga nyumba sehemu kisa nimeenda na mdada mwislam, mwenye nyumba ni mlokole. Hizo kesi zipo na ndio zinazidi kushika kasi kutokana na kutokemewa na wenye mamlaka.

Serikali inajiita haina dini, lakini watu wana dini wakiwemo viongozi wa juu serikali. Lakini busara zinapokuwa pembeni wanatuharibia umoja wetu, mshikamano wetu na kutufanya tujengeane chuki.
 
Katika kujitafutia kipato nimeamua kugeukia ujasiriamali. Basi leo nikaamkia Sinza Mori nyuma ya sheli ya Big Bon kuna jengo la gorofa pale nikafika kwa ajili ya kuweka order ya sehemu ya biashara.

Nimepigwa na butwaa baada ya kutaja jina langu walinzi walisema hapa ni kwa waislamu pekee hakuna mkristu atakayeruhusiwa kupanga. Sikuishia hapo nikaomba no. Za mmiliki wa jengo kudhibitisha hio hali akasema mm ni msimamizi hili ni jengo la mkubwa mmoja. Na kweli ni mahususi zaidi kwa watu wenye imani ya kiislamu.

Kama tumefikia huko basi hali ni mbaya. Naomba wengine mkajaribu mpate kuthaminisha habari hii.

kama ni kweli, huyo mmiliki atakuwa ni mdini kupita kiasi lakini tusiwahukumu waislam wote kwa jambo hilo kwa kuwa wapo wanaopangisha sehemu zao bila kujali udini!
 
Hii thread inastahili kufungwa immediately kwasababu haya mambo yaliyopostiwa humu hayajengi jamii tunayoitaka Tanganyika. Nadhani tunakotaka kuelekea ni kubaya na mkumbuke kuwa:- Mkiambiwa habari yoyote na mtu msiyemjua vizuri(eg. mwana jf yoyote ambaye kimsingi hafahamiki openly may be na member yeyote/wengi/wote) ni sharti habari hiyo ichunguzwe kwa makini sana. Tusihukumu be! kwa sababu ya eeh!
 
Si DAR peke yake hata huku mikoani iko hiyo tabia ,washindwe kabisa hao watu wenye hiyo tabia.
 
hii ndio tanzania iliyotengenezwa na wakora,....udini,ukabila,rangi,jinsia,....sura_ofcoz my presidaaa is handsome thats why we voted him instead of kamanda dk.wa ukweli slaaa...uuuuuuuuuuuuuuuuh!...puuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuf
 
Kuna kijana alikuwa anaomba tender pale sun vita ya wiring akaambiwa na mlinzi ukitaka kazi hapa lazima uwe muislam jamaa alikuwa anaitwa josephat akajiita Juma ,akapata kazi kama kuna watu wana Chuki na Ubaguzi ni waislam,Nenda Morogoro muslim university ndio utajua waalimu na wanafunzi wote waislam,hawaishi kusema wananyanyaswa ,muhamadans ni matatizo matupu!
Hiyo ya Morogoro Muslim University umenena. Yani hata yale mazingira yanatisha kupita. Ngoja niishie hapa,..
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom