NGULI
JF-Expert Member
- Mar 31, 2008
- 4,805
- 637
Katika kujitafutia kipato nimeamua kugeukia ujasiriamali. Basi leo nikaamkia Sinza Mori nyuma ya sheli ya Big Bon kuna jengo la gorofa pale nikafika kwa ajili ya kuweka order ya sehemu ya biashara.
Nimepigwa na butwaa baada ya kutaja jina langu walinzi walisema hapa ni kwa waislamu pekee hakuna mkristu atakayeruhusiwa kupanga. Sikuishia hapo nikaomba no. Za mmiliki wa jengo kudhibitisha hio hali akasema mm ni msimamizi hili ni jengo la mkubwa mmoja. Na kweli ni mahususi zaidi kwa watu wenye imani ya kiislamu.
Kama tumefikia huko basi hali ni mbaya. Naomba wengine mkajaribu mpate kuthaminisha habari hii.