Muda wake ukiisha ndipo utakapojua kuwa ulikuwa na RaisKwa miaka 9 sasa Tanzania inakwenda bila rais
Mkuu, kuna watu wana akili za ajabu sanakwani kila linavyorushwa bomu lazima jk aende mbona lile la mbagala na Arusha hakwenda lakini hukusema umbea mwingine bwaba.
Na huyu mwenyekiti wenu anayeenda kufanya ufuska Dubai utamuitaje?Mkuu ulitegemea nini kwa rais dhaifu?yeye ni rais wa kula bata kuipiga picha na kina 50 cent kubembea na kucheka cheka tu.Mabom ya zenji haya muhusu kwanza kule kuna rais wao na ile ni nchi nyingine hana time nayo kabisa.
Na huyu mwenyekiti wenu anayeenda kufanya ufuska Dubai utamuitaje?
Mkuu ulitegemea nini kwa rais dhaifu?yeye ni rais wa kula bata kuipiga picha na kina 50 cent kubembea na kucheka cheka tu.Mabom ya zenji haya muhusu kwanza kule kuna rais wao na ile ni nchi nyingine hana time nayo kabisa.
Walipanga wafanye mashambulizi Dodoma na Zanzibar ili kupinga muungano. Waliposhindwa Dodoma ndo wamekimbilia kumlaumu Rais wakati wanajua kuwa Zanzibar kuna Rais waoMmmh mlitaka mmfanye nini
Leta ushahidi!
Wamezaa mtoto haramu aka wa nje ya Ndoa aka wa GuestLeta ushahidi!
Walipanga wafanye mashambulizi Dodoma na Zanzibar ili kupinga muungano. Waliposhindwa Dodoma ndo wamekimbilia kumlaumu Rais wakati wanajua kuwa Zanzibar kuna Rais wao
Swali zuri sana hili. JK alimtembelea mama Zitto akiwa mahututi. Ila hawa mijamaa walivyo na roho ngumu hata salamu za rambirambi hawajatoaMuulize kwanza mbowe na slaa kuwa kwa nini hawajaenda kuzika mama zitto?
Mkuu, na safari hii nginya nginya mpaka watokomee kabisa wahuni hawakamwe hawataweza kwa sasa ipo haja ya kuwaandama mpaka waishe wote wahuni kabisa hawa.
Rais wetu ni mzuri tu ,,alafu pia jana hakua anacheza makida alikua anazindua wimbo unaohamasisha uzalendo ....ili udumu hivi bila amani maneno haya mngekua mnayasema ...tukio la jana lina maana sana kwa watanzania wote na la historia na aliongea ya maana ..na wasanii walionyesha jinsi gani wanaiaminia tz na kampeni zao za kusambaza upendo tuendeleze uzalendo ..na zile perfomance n za burudani tu...na kama unavojua wasanii n watu tunaowapenda sana so alisema ni rahisi zaidi kwa cc kuwaelewa wao than wanasiasa ..ok? Na kuhusu hilo tukio la juz zenji c hilo eneo lina mkuu wa mkoa,mwenyekiti mjumbe ,meyor ,kituo cha polisi ,wapelelezi wote hao wanfqnya nn c kazi yao hiyo....atcheni lawama nyie wenyewe familia zenu znawashinda mtaweza kuongoza maelfu ya watu?
sikushangai maboso kwetu maana yake ni mayai yaliyooza.
Mkuu ngoja niwawekee wamuone vizuri.Na huyu mwenyekiti wenu anayeenda kufanya ufuska Dubai utamuitaje?