Nimesikitishwa na Rais Kikwete

Nimesikitishwa na Rais Kikwete

Dada yangu Faizafoxxy mbona hvyo tena waniita punguani wakati hata mimi nimemshangaa mleta mada mabomu wajirushie wenyewe halafu watake kumchosha Jk wetu. Mbona hata mimi nimeisifu na kuipenda kazi mpya ya Jk ya upromota wa wasanii na kuahidi kutuletea wasanii wakubwa toka marekani kama njia moja wapo yakuvutia watalii nchini mwetu. Nampongeza sana raisi wetu kwa kua mbunifu wakutumia kodi za wananchi wake vizuri kwenda dodoma kuangalia viuno na milegezo ya vijana wake.

Labda dada yako Faiza anakushangaa haujampinga Kikwete leo.
 
Mbona hujauliza ni kwa nini Uhuru Kenyata hajaenda! Namtetea Kikwete kwa sababu ni rais wa nchi jirani na Zanzibar kama Uhuru Kenyata tu.
Ilibidi uulize ni kwa nini mtukufu rais dr. Shein hajatimba kwenye maafa! Hilo ndio lilikwa swali la msingi.
 
Dada yangu Faizafoxxy mbona hvyo tena waniita punguani wakati hata mimi nimemshangaa mleta mada mabomu wajirushie wenyewe halafu watake kumchosha Jk wetu. Mbona hata mimi nimeisifu na kuipenda kazi mpya ya Jk ya upromota wa wasanii na kuahidi kutuletea wasanii wakubwa toka marekani kama njia moja wapo yakuvutia watalii nchini mwetu. Nampongeza sana raisi wetu kwa kua mbunifu wakutumia kodi za wananchi wake vizuri kwenda dodoma kuangalia viuno na milegezo ya vijana wake.

Mbowe alienda kutazama nini?
 
Yani hao wsbunge wabunge Ndo kichefuchefu limeungua soko la ilala nlitegemea mtu kama Mh. Zungu kwenda eneo la tukio siyo tu kuzungumzia. labda sikufuatilia
Ha ha haaaaa waishimiwa bhana!!!!!
 
Mkuu umewasilisha mawazo yangu na pengine ya maelfu kwa mamilioni ya Watanzania wapenda amani wenye kiu ya maendeleo lakini wanakata tamaa kutokana na OMBWE la Uongozi lililoko kuanzia chini hadi Juu kabisa! Hivi Ikulu kama Taasis hawa kuliona hili? Rais wetu anashauriwa vema? kwanini mambo mazito ya kitaifa hayapewi vipaumbele? Walizoea kuwaita eti Watanzania Waislam ni MAGAIDI, wauaji. Grrrrr How come hao magaidi wawaue magaidi wenzao? Motives? Nchi yetu si salama tena, tunachonganishwa via watu wetu wenyewe na vyombo vya usalama viko honey moon! KWanini Rais asiitishe uchunguzi kwa kutumia Satellite? Ujinga huu ufike mwisho sasa kwani tumechoka maisha magumu bado na Ugaidi wa kufitinishwa wenyewe kwa wenyewe tunashindwa kuzuia?... I wonder kama pale Ikulu kuna best brains za kumshauri Mkuu anymore...

yaan wewe sijui hata nianzie wapi kukuelekeza na sio kukuelekeza tu pia uelewe,anyway nikupe kiduchu tu,rais huwa haendi sehemu hovyohovyo tu kama unavyo-wish wewe,Rais ana group la intelijinsia,na usimuone Dodoma ukajua swala ni huo uzinduzi tu,pia Rais ana wawakilishi sio kila sehemu lazima aende yeye,hata hivyo unahitaji elimu kidogo nitafute tuwekane sawa.
 
Mbowe alienda kutazama nini?

Problems can not be solved by the same level of thinking that created them. We need extra level of thinking to solve our problems as a nation.
 
yaan wewe sijui hata nianzie wapi kukuelekeza na sio kukuelekeza tu pia uelewe,anyway nikupe kiduchu tu,rais huwa haendi sehemu hovyohovyo tu kama unavyo-wish wewe,Rais ana group la intelijinsia,na usimuone Dodoma ukajua swala ni huo uzinduzi tu,pia Rais ana wawakilishi sio kila sehemu lazima aende yeye,hata hivyo unahitaji elimu kidogo nitafute tuwekane sawa.

Hivyooo!
 
...Sipendi kucheka hususan kwenye mambo ya usalama wa nchi... ila nimejikuta na smile bila kupenda! Sasa huyo mvaa herein masikioni atatuondolea vipi rushwa iliyokithiri? atabadilisha vipi mikataba feki? au ndo katika muendelezo wa kukubaliana na USHOGA?...

Kutokana na promota wake mzee wa kaya huyo naye anakuja kuwekeza kwenye usafirishaji.
 
kuna watu vichefuchefu kama faiza foxy
 
Mimi sikatai Rais kufanyakazi za UKUWADI mkuu! Ila naamini kwa nafasi yake kama Amiri Jeshi Mkuu/ Mwenyekiti wa mambo ya Ulinzi na Usalama anaingia moja kwa moja kama part n parcel ya Emergency Response Force! Liwalo na liwe alitakiwa aongoze ERT na atoe speech ya kutuliza hali ama kuelezea magnitude ya tukio! Kumbuka huu ni wakati wa World Cup, mikusanyiko ni mingi sana, hotels na sehemu za starehe wanafanyabiashara hadi usiku mkubwa! Hawapaswi kuwa na hofu ya usalama wao! Itoshe kusema kuwa Rais anaumwezo wa kutoa maamuzi hata ya kutumia Satellite kunasa matukio ndani ya 48 hrs! Unless otherwise wahusika walitekeleza hilo tukio kwaniaba ya dola yenyewe!!!

Kaka mambo ya ulinzi wa taifa alishamwachia Pinda mwingulu Kinana Nape wakisaidiana na Kamanda Kova. Kwasasa hahusiki tena hyo inaitwa Tanzania zaidi uijuavyo.
 
Mkuu umewasilisha mawazo yangu na pengine ya maelfu kwa mamilioni ya Watanzania wapenda amani wenye kiu ya maendeleo lakini wanakata tamaa kutokana na OMBWE la Uongozi lililoko kuanzia chini hadi Juu kabisa! Hivi Ikulu kama Taasis hawa kuliona hili? Rais wetu anashauriwa vema? kwanini mambo mazito ya kitaifa hayapewi vipaumbele? Walizoea kuwaita eti Watanzania Waislam ni MAGAIDI, wauaji. Grrrrr How come hao magaidi wawaue magaidi wenzao? Motives? Nchi yetu si salama tena, tunachonganishwa via watu wetu wenyewe na vyombo vya usalama viko honey moon! KWanini Rais asiitishe uchunguzi kwa kutumia Satellite? Ujinga huu ufike mwisho sasa kwani tumechoka maisha magumu bado na Ugaidi wa kufitinishwa wenyewe kwa wenyewe tunashindwa kuzuia?... I wonder kama pale Ikulu kuna best brains za kumshauri Mkuu anymore...

Umefikisha vyema, lakini hii ni kengele-nani amfunge paka? Na hii ni tungo tata na kitendawili, nani ategue?
 
Mwacheni jk amalize kwa amani kachoka kazunguka sana aijawai tokea.
 
rais wa wasanii amekuwa promota mzuri kwa kulitangaza taifa kuhusu sanaa kukutanisha wasanii na mameneja wakubwa duniani sijui hao ndo wanaingizia nchi pato kama sijui ata kama wanalipa kodi hawa. au ndo wanakumbukwa kwa kampeni zijazo watunge nyimbo nyingi kuisifia ccm
 
Wengi humu ni wazito kuelewa. Hiyo ni moja ya strateji ya kutoipa uzito kimataifa habari hiyo na kuwatisha watalii. Kama angeenda rais kwa tukio kama lile,vyombo karibia vyote vya ndani na vya nje vinge cover habari hiyo na hii ingekua si nzuri kwa biashara ya utalii. Hata kule ZNZ alieenda kuwaona na kulisemea hili si Dk Shein bali waziri mmoja aliyekasimiwa mamlaka. That was strategicaly planned!. Think outside the box.
 
Back
Top Bottom