Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 54,615
- 133,283
Ww unadhani kutunga story ya kuchekesha ya kujifariji ni kazi ndogo, n lazima jamaa akae miezi mitatu kutunga story manahuyu jamaa hupotea na kuibuka

Toka nimeingia JF sijawahi kutana na mtu akawa anataka nimpe connections za akina Bill Gate, Buffet, Elon Musk n.k huwa nashangaa sana vijana wa Kitanzania wanawaza nini?
Viongozi wanawaza nini? Ila connections za akina Rihanna, J.Lo watu wanataka sana. Dogo mmoja ananiambia nikiwa room na miss world 2024 nimchukue video nimtumie.nikamuuliza itakusaidia nini?akawa anakenua tu meno.
Mimi kuwala hawa warembo wa Dunia ni normal tu kwangu halafu huo muda wa kuchukua video haupatikani kabisa tunakuwa busy nikiwakilisha Waafrika wenzangu.
Hakuna hata mmoja ambaye amewahi kuuliza Billionea Lugano nini chanzo cha Utajiri wenu na wako? Angalau kidogo kuna madada humu JF hao waliomba niweze kuzaa nao wapate watoto wenye akili kama mimi. Shida tu nilipokuwa nawapeleka kufanya interviews walikuwa wanafail kwa sababu mbalimbali ambazo naomba nisiziweke hapa..
Watanzania asilimia zaidi ya 90 wanakula milo 4 mpaka mitano kwa siku kutokana na umaskini. Lakini wala hawajali kabisa kujikwamua. Unamuuliza mtu pato lako kwa siku tsh ngapi? Anakuambia tsh 50,000. Unajiuliza huyu anaishije? Maisha gani hayo?ila anataka connections za madem. Mambo ya uchumi hawazi..
Nakutana na viongozi wakubwa tu wanaishia kuomba pesa za kampeni tu kwa sasa. Nashangaa sana. Kama Taifa mnakwenda wapi?
huyu jamaa hupotea na kuibuka
Tajiri naomba hela kiduchu nifungue genge mtaan kwangu connection siziwezi sijasomaToka nimeingia JF sijawahi kutana na mtu akawa anataka nimpe connections za akina Bill Gate, Buffet, Elon Musk n.k huwa nashangaa sana vijana wa Kitanzania wanawaza nini?
Viongozi wanawaza nini? Ila connections za akina Rihanna, J.Lo watu wanataka sana. Dogo mmoja ananiambia nikiwa room na miss world 2024 nimchukue video nimtumie.nikamuuliza itakusaidia nini?akawa anakenua tu meno.
Mimi kuwala hawa warembo wa Dunia ni normal tu kwangu halafu huo muda wa kuchukua video haupatikani kabisa tunakuwa busy nikiwakilisha Waafrika wenzangu.
Hakuna hata mmoja ambaye amewahi kuuliza Billionea Lugano nini chanzo cha Utajiri wenu na wako? Angalau kidogo kuna madada humu JF hao waliomba niweze kuzaa nao wapate watoto wenye akili kama mimi. Shida tu nilipokuwa nawapeleka kufanya interviews walikuwa wanafail kwa sababu mbalimbali ambazo naomba nisiziweke hapa..
Watanzania asilimia zaidi ya 90 wanakula milo 4 mpaka mitano kwa siku kutokana na umaskini. Lakini wala hawajali kabisa kujikwamua. Unamuuliza mtu pato lako kwa siku tsh ngapi? Anakuambia tsh 50,000. Unajiuliza huyu anaishije? Maisha gani hayo?ila anataka connections za madem. Mambo ya uchumi hawazi..
Nakutana na viongozi wakubwa tu wanaishia kuomba pesa za kampeni tu kwa sasa. Nashangaa sana. Kama Taifa mnakwenda wapi?
Huyu mwamba alipoteleaga wap?Tajiri ya JF. Kiduku lilo
😂😂😂😂😂😂Angalau kidogo kuna madada humu JF hao waliomba niweze kuzaa nao wapate watoto wenye akili kama mimi. Shida tu nilipokuwa nawapeleka kufanya interviews walikuwa wanafail kwa sababu mbalimbali ambazo naomba nisiziweke hapa..
Huyu ndiye.Huyu mwamba alipoteleaga wap?
Muhimu Mkuu, imagine unampigia nyeto mwanamke mzuri kuliko waite duniani 🔥 hata bao lake linakuwa lina utukufu 🙌Huyo dogo aliye on ba video za miss wold ni Mbaga Jr, au dronedrake wazee wa chaputa
Ina sikitisha sanaMuhimu Mkuu, imagine unampigia nyeto mwanamke mzuri kuliko waite duniani 🔥 hata bao lake linakuwa lina utukufu 🙌
Umenifurahisha kuweka avatar ya huyo mwamba mpenda ukweli mkuu.Ila JF bwana , hata walioifungia huwa wanacheka sanaa
View attachment 3473862