Nimeshuhudia shem akisaliti

Mwambie shem ako aache michepuko na sio dada ako
 
Dada yangu anaibiwa

Km anaweza kuhifadhi siri akafanyia uchunguzi mwambie ila km wa kupanik kaa kimya utapata ubaya mimi nilimfumania baba yangu mkubwa DR anazini na mgonjwa kwenye hospital ya home kwetu sikusema na hata mama sikumwambia nliogopa atamwambia dada yake!
 
Inaweza kuwa kweli katika imani yenu yapo hayo, maana hata wale wasioruhusiwa kuoa kuleeeee, si unapajuwa wapi? wameamua kuchepuka na vitoto vidogo mpaka Umoja wa Mataifa inapiga kelele..

Kwi kwi kwi teh teh teh!

We uezi acha udini kabisa dah sometimes potezea basi mana unanifanya ni tende zambi kwa kutaka kuchukia rafiki zangu waislamu kwa comments zako JF, haya mambo binafsi si dini hata waislamu wenzako wanachepuka, si kila udini tu.
 
kwan kuna kitu kibaya walichofanya zaid ya kucheza????
 
Ushauri wako????!!!
 
Hayakuhusu kama rah p unakuja zaidi ya sista p,kama haujawah kufanya cheating kwenye maisha yako sema kama umewah kausha
 
loyda pole kwa ushauri unaopewa, dah. Vumilia ndo walimwengu.
 
Last edited by a moderator:
Mapenzi hayashauriki utashauri,mwisho wa siku utakuja kuonekana we mbaya ulitaka kuwagombanisha,inawezekana dada yako anajua fika ila hasikii la muadhini wala la mteka maji wenyewe wanakwambia when you are in love you only see and hear what you want to see and hear.
 

kumbe mgeni eeh ok ngoja nikuchumbie humu humu miss chaga, strong lady evlyn salt, heaven on e , romantic eyes please naombeni mniunganishie kwa huyu binti lol.,.
 
Nashukuruni sana kwa ushauri hapa nimejifunza meng iliwezekana nikaharibu kabisa
 
loyda pole kwa ushauri unaopewa, dah. Vumilia ndo walimwengu.

Mkuu acha tu ndo mara yangu ya kwanza kuomba ushauri lakn ni kama nina ugomvi na baadhi ya watu teh binadam wengne bna
 
Last edited by a moderator:
kumbe mgeni eeh ok ngoja nikuchumbie humu humu miss chaga, strong lady evlyn salt, heaven on e , romantic eyes please naombeni mniunganishie kwa huyu binti lol.,.

Ndo frst time kuomba ushauri lakn doooh na mitusi natukanwaaaa lol
 

Kuna watu wanachukulia ndoa kama utumwa ndo maana zinawatesa sana.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu acha tu ndo mara yangu ya kwanza kuomba ushauri lakn ni kama nina ugomvi na baadhi ya watu teh binadam wengne bna

Pole rafiki......chukua ushaur utakaoona utakusaidia.Wanaotukana acha nao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…