Nimeshtushwa! Nini kimemsibu huyu Mtu?

Nimeshtushwa! Nini kimemsibu huyu Mtu?

Mwacheni fom alichuua mwenyewe atajiombea mweneyewe. wani yeye ni marehemu had tumwombee?
 
Hata watumishi wke wanaonyesha wamechoka ila hakuna namna,acha tuzidi kumuombea kma anavyotuomba yeye kila mara
 
Tetetetetetete na mtoto wake bwana yule wote wamekosa raha kabisa kwasababu walijua watanzania bado mazuzu siku hizi akiongea sekunde mbili anafuta makamasi tena kwa vidole na kujichokonoa na kidole mapuani kisha kushika raia mikono bora Rais wa A.town yale maono yatimie tu .


Swissme
umenishinda tabia
 
Apumzike mahali pa baya MTU
Jamani jamani mimi nawarudisha nyuma mhesabu watu waliomsema vibaya Lowasa na mahala walipo. Gombani alitweet na hakumaliza hata miezi miwili akago, Mwenye chama cha Tanganyika DP naye akafata, na wengine mnaweza kuwajaza. Pushups zilikuwa za kuonyesha kuwa mnapoteza kura kuchagua marehemu mtarajiwa. Mtarajiwa anadunda na yupo kimya na hajibu matusi yoote anayopewa humu kila siku. Mtu anawapoteza mpaka watoto wetu ambao wameamua kusema ukweli. Roma viva Roma, Saa Nane, na wengine ambao tumeambiwa hivi leo na group lote la Roma. Mtu, we Mtu wee mimi sisemi mengi ila hata Mobutu hakuishi mpaka leo ingawa aliiba kila mali ya congo. Mijitu ipo mingi na Putin akiwemo. Kawasweka watu ndani eti kupinga rushwa.
 
Kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe na kila mtu atatoa hesabu zake mwenyewe mbele za Mungu, siku hiyo inakuja
Kwa kibri cha bwana yule na majivuni ya bwana yule sijui kama apaswa kuombewa
Hatuna uhuru huo kabisaaa,
Wacha ajiombee mwenyewe
 
Bado hujaona mtoto wa nyani ananyonya kidoleee....(anakera mama yake) aaagghhhr...kwa sauti ya mr ebbo.

Bado kulamba vidole
 
Tulia vizuri sana Mkuu na zisome vizuri mno hizo ' naniliu ' zangu saba ( 7 ) hapo kisha ' jiongeze ' kiumakini sana utamjua huyo ' Mtu '. Halafu huyo ' Mtu ' akiiona tu hiyo ' Avatar ' yako hapo anazidi kukasirika, kununa na kuumia mno kutokana na yaliyomkuta!
Tena jina lake likifupishwa linashabihiana na la kipa mmoja matata sana wa PAN na aliyekuwemo kwenye kikosi kilichoiwakilisha Tanzania huko LAGOS kwenye michuano ya mataifa huru ya AFRIKA 1980 , amekuwa kocha wa makipa wa klabu ya yanga na taifa stars muda mrefu sana
 
Tehe tehe tehe! Ngoja nianze kumuangalia kwa ukaribu. Ila huyu wa kuwapaka watu kamasi nitamwonea wapi wakati siku hizi wenye flag wamemlia 'kobis'? Labda youtube
 
Mtafute katika mitandao au muangalia katika tv stations mbalimbali au mbahatishe akiwa ' anatiririka ' mahala kisha mwangalie kwa jicho lako la ' tatu ' kabisa na lenye umakini wa kutukuka utagundua kuwa huyu ' Mtu ' hivi sasa......
  1. Hayupo vizuri Kisaikolojia.
  2. Hana tena ile nuru aliyokuja nayo.
  3. Anapungua sana mwili ( kwa lugha nyepesi ni kwamba anakonda )
  4. Inaonekana kuna kitu anakijutia moyoni mwake.
  5. Amekuwa mpole halafu mwangalifu sana hata akiwa anazungumza.
  6. Analazimisha Kicheko lakini kiuhalisia hana raha wala amani kabisa.
  7. Anaonekana anaumwa au kwa sasa hayupo vizuri Kiafya.
Jamani naomba wote kwa pamoja tukiwa tunasali kumwomba Mwenyezi Mungu baraka zake tafadhali tumweke pia katika maombi yetu huyu ' Mtu ' kwani binafsi naanza kuogopa yasije kutukuta ya yale ' Watu ' wa Nigeria, Zambia na Malawi.

Pole sana ' Mtu ' na naomba ujikaze tu tutafika ' mdogo mdogo '.
Si tulimuombea akatuona ma-sakala.... labda tumuombee njaa
 
Naomba kuuliza: wenye kipara ngoto hujuaje mwisho wa sura zao wakati wa kuosha uso?
 
Back
Top Bottom