Nimeshtushwa! Nini kimemsibu huyu Mtu?

Nimeshtushwa! Nini kimemsibu huyu Mtu?

Oya hivi kumbe Watanzania tumefikia tumefikia roho mbaya hii? Jamani kwanini hatutaki kabisa kumuombea ' Mtu ' baraka ili tuvuke nae vizuri na hili Gurudumu zito? Acheni hizo bhana ' Mtu ' anahitaji maombi yetu hivyo ' tusimtose ' kihivyo!
Ajutie yake hadharani, kisha tumpe kitubio akishatubu apumzike!
 
hahahahaha sema MTU akiita press anatia huruma na vile viblog anavyoita
....

Mmmmmmmh....sijui kama huyu Mtu wako ni huyu huyu ' Mtu ' wetu sisi tunayemjua na ambaye hizo ' naliliu ' saba ( 7 ) hapo juu zinamhusu. Kwani huyu Mtu wako wa vi blogu ana mfanano wowote na ya wale ' Watu ' wa Nigeria, Zambia na Malawi ambao kwa bahati mbaya hata sasa hivi hatunao tena duniani?
 
Tetetetetetete na mtoto wake bwana yule wote wamekosa raha kabisa kwasababu walijua watanzania bado mazuzu siku hizi akiongea sekunde mbili anafuta makamasi tena kwa vidole na kujichokonoa na kidole mapuani kisha kushika raia mikono bora Rais wa A.town yale maono yatimie tu .


Swissme
Lin watanzania wameacha uzuzu??
 
Jamii yetu imekosa mwelekeo; akili zetu zinaendeshwa na mambo ya kipuuzi tu ambayo wala hayana faida kwetu!
Kwani ungeingia faragha ukaomba kwa Mungu kimya kimya (hata mkono wako wa kushoto usijue) ili amnusuru na hayo mambo uliyoona, kulikuwa na shida gani?
Sikuja kuitengua torati Bali kuitimiliza...JINO KWA JINO JICHO KWA JICHO. ..
KWANI YEYE ALISHAWAHI KUTUOMBEA MEMA ZAIDI YA KUTAMANI TUISHI KISHETANI....acha kujipendekeza wwee kwani ulienda kumchukulia form?
 
Mkuu GENTAMYCINE heshima kwako huyo mtu amefika hapo kwa ajili aliyovyojibadilisha al kutoka kuwa mpenda haki hadi kuwa mpenda mabaya kutoka kuwa mtetezi wa wanyonge &masikini hadi kuwa muonevu kwa wanyonge na masikini laana zinamtafuna &roho ya visasi na sio yeye pekee hata mwanae mpendwa Daud Bashite nae yupo dhoofu lihali kwa kifupi tuwaache kama walivyo mungu ndiye atakayeamua
 
Mwalimu wangu wa chuo ALIWAHI kukufundisha kuwa mtu akikusumbua na ukashindwa mbinu zote za kumdhibiti kabla ya kipindi chake cha kujunyanyasa kuisha basi mfanyie maombi apewe BIOLOGICAL RETIREMENT......

nadhani hata Malawi Zambia na Nigeria waliwaombea WATU WAO hiyo retirement.

Hahahjahahajajaja nimecheka sn aic!!kweli Biological retirement ihusu tu ss hakuna namna!
Majitu mazito kung'amua hahahhaa
 
Kusadikika, nchi iliyo angani. Tunakokwenda, jambo lililo gizani. Watu wanapotekwa, imeagizwa na nani? Nchi yangu, nchi yangu, nakulilia jamani.
 
Back
Top Bottom