Nimeshtushwa! Nini kimemsibu huyu Mtu?

Nimeshtushwa! Nini kimemsibu huyu Mtu?

1f441.png
"yeyote atakayefanya hivyo ajue tunamwangalia, tunamwona, na atakamatwa..."
1f575.png
- (dakika ya 1:55)
 
Mtafute katika mitandao au muangalia katika tv stations mbalimbali au mbahatishe akiwa ' anatiririka ' mahala kisha mwangalie kwa jicho lako la ' tatu ' kabisa na lenye umakini wa kutukuka utagundua kuwa huyu ' Mtu ' hivi sasa......
  1. Hayupo vizuri Kisaikolojia.
  2. Hana tena ile nuru aliyokuja nayo.
  3. Anapungua sana mwili ( kwa lugha nyepesi ni kwamba anakonda )
  4. Inaonekana kuna kitu anakijutia moyoni mwake.
  5. Amekuwa mpole halafu mwangalifu sana hata akiwa anazungumza.
  6. Analazimisha Kicheko lakini kiuhalisia hana raha wala amani kabisa.
  7. Anaonekana anaumwa au kwa sasa hayupo vizuri Kiafya.
Jamani naomba wote kwa pamoja tukiwa tunasali kumwomba Mwenyezi Mungu baraka zake tafadhali tumweke pia katika maombi yetu huyu ' Mtu ' kwani binafsi naanza kuogopa yasije kutukuta ya yale ' Watu ' wa Nigeria, Zambia na Malawi.

Pole sana ' Mtu ' na naomba ujikaze tu tutafika ' mdogo mdogo '.
Huo muda wa kumwombea wewe unautoa wapi aiseeeee?? Huna kazi nyingine wewe? Aliyataka mwenyewe, hivi hukusikia alivyokwambia juzi pale juu daraja, chini daraja? Shauri yake bwana kama anaona mambo magumu si ateme mzigo kwani hawawezi kupatikana wa kulisukuma gurudumu? Mbona hii ni simple sana,, unasingizia kuumwa tu tnakupeleka India na huko unakaa hata mwaka!! Mtoto akililia wembe mpeeeeeeeeeeeee!!!
 
Oya hivi kumbe Watanzania tumefikia tumefikia roho mbaya hii? Jamani kwanini hatutaki kabisa kumuombea ' Mtu ' baraka ili tuvuke nae vizuri na hili Gurudumu zito? Acheni hizo bhana ' Mtu ' anahitaji maombi yetu hivyo ' tusimtose ' kihivyo!
Ila Gentamycine wewe ni ka-mbea,, huwa unashadadia sana watu wanavyojibu! Kwani sisi tulimlazimisha, si aliyataka mwenyewe? Yaani nikisikiaga ile hutuba ya pale daraja 2 sina hamu kabisa!! Tena ikiwezekana Mungu afanye fasta tu itakuwa ni sawa!!
 
Utapotezwa, shauri yako GENTAMYCINE

Nikipotezwa akina Lissu na Kibatala watanipata tu nitakapokuwa wala usiwe na wasiwasi na hilo Mkuu. Mkuu vipi ' Mtu ' ni Babaako nini mbona kama vile umejishtukia kimtindo? Labda nimalizie tu kwa kukuuliza je huyo ' Mtu ' Wewe unamjua lakini? Je unaweza kututajia hapa ni nani labda? Mimi binafsi simjui huyo ' Mtu ' na nimefanya tu kuandika.
 
Mtafute katika mitandao au muangalia katika tv stations mbalimbali au mbahatishe akiwa ' anatiririka ' mahala kisha mwangalie kwa jicho lako la ' tatu ' kabisa na lenye umakini wa kutukuka utagundua kuwa huyu ' Mtu ' hivi sasa......
  1. Hayupo vizuri Kisaikolojia.
  2. Hana tena ile nuru aliyokuja nayo.
  3. Anapungua sana mwili ( kwa lugha nyepesi ni kwamba anakonda )
  4. Inaonekana kuna kitu anakijutia moyoni mwake.
  5. Amekuwa mpole halafu mwangalifu sana hata akiwa anazungumza.
  6. Analazimisha Kicheko lakini kiuhalisia hana raha wala amani kabisa.
  7. Anaonekana anaumwa au kwa sasa hayupo vizuri Kiafya.
Jamani naomba wote kwa pamoja tukiwa tunasali kumwomba Mwenyezi Mungu baraka zake tafadhali tumweke pia katika maombi yetu huyu ' Mtu ' kwani binafsi naanza kuogopa yasije kutukuta ya yale ' Watu ' wa Nigeria, Zambia na Malawi.

Pole sana ' Mtu ' na naomba ujikaze tu tutafika ' mdogo mdogo '.
Nitafurahi sana siku nikisikia MTU amefariki nitachinja huyu maksai wangu ninaemtegemea kulimia
 
Nitafurahi sana siku nikisikia MTU amefariki nitachinja huyu maksai wangu ninaemtegemea kulimia

Mama yangu......! Jamani Watanzania wenzangu hivi leo kumbe tumefikia hatua hii hadi ya kuombena ' Vifo ' tena wazi wazi bila aibu? Kwani Wewe ' Mtu ' umetukosea nini lakini sisi wananchi wenzako? Jamani tumsamehe tu ' Mtu ' na tumuombee kwa Mwenyezi Mungu labda baada ya hii ' Kwaresma ' atabadilika.
 
Tena jina lake likifupishwa linashabihiana na la kipa mmoja matata sana wa PAN na aliyekuwemo kwenye kikosi kilichoiwakilisha Tanzania huko LAGOS kwenye michuano ya mataifa huru ya AFRIKA 1980 , amekuwa kocha wa makipa wa klabu ya yanga na taifa stars muda mrefu sana
Umekosea. Jina lake lina fanana na shetani.[emoji3]
 
Sipendi hiyo kitu itokee kwasababu tutatia aibu,macho wa watu na jirani zetu hayataamini pale watakapo tuona watanzania tukishangilia kana kwamba tumeshinda kombe la dunia ambalo ni ndoto .
Hata hivyo sio mbaya aende tu coz tumemchoka sasa.
 
Back
Top Bottom