GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,533
- 127,536
- Thread starter
- #81
Hawawezi kumzingira, anafahamiana vizuri na wazingirajiAkikutajia makazi yake yatazingirwa.
Ikiwezekana na mbegu kula kabisaNitafurahi sana siku nikisikia MTU amefariki nitachinja huyu maksai wangu ninaemtegemea kulimia
Hatari sana ukikosa kusoma NAMBA za upande huu utasoma za upande ule. Kila mmoja atazisoma hata kama ni upside down. Wanasemagaa mchimba kisima kaingia mwenyewe! Haruhusiwi mtu kujitoa kwenye hili game sababu namba zetu wenyewe na tumeamua wenyewe kuzisoma ...Mtafute katika mitandao au muangalia katika tv stations mbalimbali au mbahatishe akiwa ' anatiririka ' mahala kisha mwangalie kwa jicho lako la ' tatu ' kabisa na lenye umakini wa kutukuka utagundua kuwa huyu ' Mtu ' hivi sasa......
Jamani naomba wote kwa pamoja tukiwa tunasali kumwomba Mwenyezi Mungu baraka zake tafadhali tumweke pia katika maombi yetu huyu ' Mtu ' kwani binafsi naanza kuogopa yasije kutukuta ya yale ' Watu ' wa Nigeria, Zambia na Malawi.
- Hayupo vizuri Kisaikolojia.
- Hana tena ile nuru aliyokuja nayo.
- Anapungua sana mwili ( kwa lugha nyepesi ni kwamba anakonda )
- Inaonekana kuna kitu anakijutia moyoni mwake.
- Amekuwa mpole halafu mwangalifu sana hata akiwa anazungumza.
- Analazimisha Kicheko lakini kiuhalisia hana raha wala amani kabisa.
- Anaonekana anaumwa au kwa sasa hayupo vizuri Kiafya.
Pole sana ' Mtu ' na naomba ujikaze tu tutafika ' mdogo mdogo '.
Jaman mbona cielew mnadiscuss nn
Nani huyoTetetetetetete na mtoto wake bwana yule wote wamekosa raha kabisa kwasababu walijua watanzania bado mazuzu siku hizi akiongea sekunde mbili anafuta makamasi tena kwa vidole na kujichokonoa na kidole mapuani kisha kushika raia mikono bora Rais wa A.town yale maono yatimie tu .
Swissme