Nimeshindwa kuacha kumsaliti mke wangu

Nimeshindwa kuacha kumsaliti mke wangu

Wakuu nina typical tatizo kama hili!. My wife is perfect nikisema perfect namaanisha super perfect! Huwa nasafiri sana mikoani jamani nikifika huko sijui mzimu gani huniandama nakula nje. Nikirudi nyumbani siwezi hata mwangalia usoni wife.

Halafu huko nje nawakojoza hata mara 5 huku home kimoja then hola Tunatumika na nguvu za giza hakiya nani?
Tufanyeje wazee?
Mkuu we seem to be facing the very same problem,yaani hatuna hata tofauti,nje nina mzuka kweli lkn nikirudi ndani ni kimoja tu hoi,,,,,
 
Nimebahatika kuwa na mke mzuri sana,ni mchanganyiko wa mnyamwezi na muhaya,ni mzuri na ana tabia nzuri sana,tumebahatika watoto wawili,na ndoa yetu ina miaka sita sasa,nina kazi nzuri na nakaa nyumba ya kupanga ya nyumba vitatu Changanyikeni.Kwa kifupi nampenda mke wangu.Kinachoniuma ni kuwa kila nikitoka nje,barabarani,au sehemu za starehe siishi kutamani wanawake wengine na mara kadhaa wale wanaonikubalia nimelala nao guest,achilia mbali gharama ninazotumia kwenye starehe,mke wangu ananipenda sana,na mimi nampenda pia,sipo tayari kumuacha na niko tayari kuilinda ndoa yetu kwa gharama yeyote ile….huwa najuta sana kumsaliti kwani hastahili haya niyayomfanyia,kinachonisikitisha ni kuwa siwezi acha kuendelea kumsaliti.Najiuliza huu ni upepo tu utapita au ni nn?au ndo madhara ya kuwa bookish shule mpaka nikasahau starehe...naomba msaada.

me ndo namkula mkeo kwa sasa,
 
Mkuu we seem to be facing the very same problem,yaani hatuna hata tofauti,nje nina mzuka kweli lkn nikirudi ndani ni kimoja tu hoi,,,,,

wakati mwingine inabidi kujiuliza maswali magumu na kutafuta majibu yake,mfano hivi ni nini kinachosababisha nikatoka nje ya ndoa yangu?huku nje nnapata nini ambacho kwa mke wangu sipati?hicho ninachokipata huku nje naweza kumfundisha/kumuelewesha wife na nikakipata humu humu ndani?hivi maisha haya ya kumsaliti mke wangu nitaendelea nayo mpaka lini?siku akijua nimeanza kumsaliti zaman ndoa yangu itakua salama kweli?hivi tabia hii ni nzuri kweli,kama sio naweza kuiacha sasa hivi?ukijijibu mwenyewe hayo maswali you can go a step ahead kaka na kufanya maamuzi kwasababu muda bado uko upande wako.
 
Kaka mi nimeanza kwa kudelete number zao za simu na kuwablock,next step nataka kumtoa mke wangu twende mbali like bagamoyo huku tupumzike weekend moja,2013 sitaki kabisa ujinga huu.
 
Asante sana samaritani,napiga magoti nasali sana,huenda saa ya ukombozi bado,lkn naamini Mungu yupo pamoja nami,na shetani atashindwa hatimaye.

Ubarikiwe kaka, kila la heri kumbuka..

Usiwape wanawake nguvu zako: Wala moyo wako usiwape wale wawaharibuo wafalme.

Mithali 31:3
 
Watu wengine wanafiri mimi labda nje nafuata 0713,,,,,hapana mimi sio muumini wa hiyo dhambi,na nikijua mwanamke anatoa 0713,,,huyo hanipati.
 
Watu wengine wanafiri mimi labda nje nafuata 0713,,,,,hapana mimi sio muumini wa hiyo dhambi,na nikijua mwanamke anatoa 0713,,,huyo hanipati.

mkada sasa anza kujenga hisia kuwa kila mwanamke umuonae anauza 0713 isipokua my wyf wako tu
 
Last edited by a moderator:
Spirit of lust!
If it is powerful than you, then ask Jesus to fight it for you! Maana naona Moyo u radhi lkn Mwili ni dhaifu!
 
Watu wengine wanafiri mimi labda nje nafuata 0713,,,,,hapana mimi sio muumini wa hiyo dhambi,na nikijua mwanamke anatoa 0713,,,huyo hanipati.

Hapo Umenena Mkuu!
 
Kaka mi nimeanza kwa kudelete number zao za simu na kuwablock,next step nataka kumtoa mke wangu twende mbali like bagamoyo huku tupumzike weekend moja,2013 sitaki kabisa ujinga huu.

Ukiamua Utaweza Mkuu!
 
kibol what goz araundi kam araundi,ajirekebishe nimetumia tashtiti

nadhani kama ni muelewa atakuelewa mkuu,mambo mengine yanatumiza sana hata sisi wachangiaji pale unapoona mwenzio anafanya jambo la kukereketa,wakati mwingine tujikaze hivyo hivyo tuwape ushauri wa kuwajenga hasa pale wanapotambua jambo wanalofanya sio sahihi.
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli mnatumika; ila naona wewe hutumiki ila unajituma mwenyewe, niulize kwanini; mpaka usafiri ndipo unacheza mbaya, meaning una control ya hiyo kitu.
Mwenzio ni ngumu kwani inaonekana hana control kabisa.

Wewe amua, jikeep busy ukiwa safarini; msali kwa Simu na mkeo na utashinda. Lau kama ni worse basi ikabidhi hiyo vita kwa Simba wa Yuda atalitimua hilo lispirit of lust.

Wakuu nina typical tatizo kama hili!. My wife is perfect nikisema perfect namaanisha super perfect! Huwa nasafiri sana mikoani jamani nikifika huko sijui mzimu gani huniandama nakula nje. Nikirudi nyumbani siwezi hata mwangalia usoni wife.

Halafu huko nje nawakojoza hata mara 5 huku home kimoja then hola Tunatumika na nguvu za giza hakiya nani?
Tufanyeje wazee?
 
Ni kweli mnatumika; ila naona wewe hutumiki ila unajituma mwenyewe, niulize kwanini; mpaka usafiri ndipo unacheza mbaya, meaning una control ya hiyo kitu.
Mwenzio ni ngumu kwani inaonekana hana control kabisa.

Wewe amua, jikeep busy ukiwa safarini; msali kwa Simu na mkeo na utashinda. Lau kama ni worse basi ikabidhi hiyo vita kwa Simba wa Yuda atalitimua hilo lispirit of lust.

Ushauri mzuri!
 
Mkuu uko sahihi kabsa,nje naperform vzr sana,lkn nikirudi ni usingizi tu.lkn mke wangu ni mzuri kuliko hata hao wa nje,ni nn hiki?

Sasa geuza kibao,jinsi unavofurahia penzi la hao wa nje,sasa chukulia utajisikiaje kama ni dume jingine ndo linamfaidi mke wako namna unavomfaidi wewe wa nje. Fanya kuvuta hisia hizo pale unapokua juu ya kifua cha huyo wa nje. Uchungu utakaoupata ni somo tosha kwako.
 
Nice thread indeed, so much ushauri na encouragement!
Wakati mwingine najiuliza hivi kusema ni rahisi kuliko kutenda?..guys in here seem to be absolutely perfect...lolz!
Kama tunayoshauri hapa ndiyo maisha tunayoishi, basi mbarikiwe sana wanaJF..
Back to the topic, mleta uzi ushauri wangu ni 'wewe kukaa chini na kutafakari sana kuhusu maradhi hususan ngoma mkuu'...Binafsi nipatapo mawazo kama yako nikifikiriaga ngoma tu..everything goes offline....
 
Ni tatizo kubwa sana kwa wanaume karibu wote waliopo kwenye ndoa...
Na inawezekana kabisa hakuna solution ya kuacha kama si kupunguza kabisa....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom