Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,588
- 28,756
Wewe Asigwa, mbona unazidi kumzamisha mwenzio badala ya kumwinua!!! Ushauri wangu, ikimbie zinaa, ni mbaya!!!
tatizo zinaa iko mwilini mwake inachemka akiikimbia anakimbia nayo...kesha sema alikua mtu wa madesa kasoma kwa bidii ili akikua aje ayakute ukubwani...NDIO KAYAKUTA SASA............