Kyenju
JF-Expert Member
- Jun 16, 2012
- 5,317
- 2,880
Ukristo kama wa Mwingira ni Bure ,utakupeleka katika Zinaa
Mpe ushahuri wa kumsaidia siyo ushahuri wa kijinga kama huo, kila kitu unakipeleka kwenye dini.
Ukristo kama wa Mwingira ni Bure ,utakupeleka katika Zinaa
Ukristo kama wa Mwingira ni Bure ,utakupeleka katika Zinaa
asilimia 90(not scientific prof) ya wanandoa hasa wanaume hutoka ndani ya ndoa zao, hii inatokana na sababu mbali mbali
na sababu nyingi hukosa msingi
umenifurahisha ulivosema mkeo ni mzuri mno,na pia mnapendana sana, sasa nje ya ndoa unafuata nini, tumia uzuri wa mkeo kama silaha ya matamanio ya nfsi, hakuna cha shetani wala nini, tumia akili vizuri hebu jiulize baada tu ya kufanya tendo na namna unavojilaumu kwa pesa uzotumia na nguvu afu upuuzi mtupu, mara nyingine utapata ma maradhi.
nakushauri na ninajishauri mimi tuache maana na mimi pia mmhhmmhhh...........
kama yeye sio mkristu je??
kwahiyo wakrtistu sio wazinifu sio?? au kwa maana nyingine hakuna waislamu waanaoishi bila kuzini nje ya ndoa??
Shoddy responses to serious matters, tuna wakristu wangapi tena wengine hadi wako kwenye madaraja ya juu na wanafanya hayo?? ina maana hawajampokea kristu??
acheni kutoa simple solutions, the guy anahitaji spiritual, clinical and psychological support.... Uzinifu pia ni ugonjwa
ndio nyienyie mnaugua na kukimbilia kuomba kabla ya kunywa dawa
anyway.... maybe you know better na mna solutions simple in everything na dnio maana tupo hapa tulipo leo
spiritual namaanisha imani.... imani ya diniSijui hata uwezo wako wa kufikiri. Unaposema anahitaji spiritual support unakusudia aende kwa Manyaunyau? Kama unadhani kuwa ukristu haumfai kwa sababu tu una ushahidi wa wakristu wa "madaraja ya juu" (kitu ambacho hakijawahi kuwepo katika ukristu) ambao ni wazinzi wa kutupwa, mbona basi hujatoa ushauri afanye nini? Kumbuka kuwa si kila jibu humu litamfurahi kila mtu. Kumbuka kwamba imani ni suala binafsi na sio kundi kama unavyodhani, na huko kuna psychological na spiritual counseling nzuri mno. Kama unaufahamu vizuri uislamu well and good, umshauri aende huko badala ya kuleta mashambulizi kwa wanaojaribu kuchangia. Very low indeed.
Wanasaikolojia tunaamin ukiluka stage moja kwenye makuzi utakuja kuifanya ata ktk umri mkubwa ivo sio kosa lako ni stage uliluka itaisha tuuu!
spiritual namaanisha imani.... imani ya dini
aweza kuwa muislam au mkristu, budha, etc
kuhusu uwezo wangu wa kufikiri, hilo lisikusumbue... hauko peke yako, mko wengi sana na sijui kama wewe unajua hata uwezo wako wa kufikiri
it is funny that you signature is defeating your course.... ati marriage ni life sentence!! kristu hakutufundisha hivyo
nyambaff
likewise buddyYou are a what you are. Have your way.
Mkuu Ijumaa si leo au?swahiba, unajua kuna watu wameamua kufunga macho washike bakora na kutembea nama vipofu, na kutumia Kristu au Mungu kirahisi-rahisi tu kama wanavhoendesha maisha yao
we have a problem here, na tuna ushahidi pia kuna waumini wazuri tu nao wanatumbukia kwenye ulemavu huo wa kupenda unyevu.... we need comprehensive approach ya hili jambo kuliacha maana wengine wameathirika zaidi ya wengine
Anyway, ijumaa tukutane port view aisee
wewe acha kwenda sasa kwenye hizo starehe au uende ma mkeo.
BADILI TABIA bora umweleze... Coz haiingii akilini kabisa mtu anaposema anampenda sana mkewe ili hali utamu wake anaugawa huku na huko na kuhatarisha afya ya familia yake pia.endelea kukamua,hadi umpe mkeo zawadi ya ukimwi,kuashiria jinsi gani unampenda,unamthamini na kumtunzia penzi lake