Nimeshindwa kuacha kumsaliti mke wangu

Nimeshindwa kuacha kumsaliti mke wangu

Nimekufahamu naenda kumwambia mkeo. Yaani jirani yangu kumbe uko hivi? Naenda na simu nimefungua huu uzi kama ushahidi. Huwezi kumdhalilisha mdogo wangu hivi.
asante kaka kwa kunifanya nicheke peke yangu.... Eti naenda na uzi kama ushahidi..
 
kama yeye sio mkristu je??

Yesu hakuja kwa wenye dini fulani bali alikuja ili kutafuta na kuokoa kile kilichopotea,akiwemo mkada na
yeyote anayehitaji msaada wake kwa kujua kuwa hawezi kushinda dhambi kwa nguvu zake.Ndiyo maana
anasema "njooni kwangu wenye mizigo nami nitawapumzisha" hataji dini hapa ni wote wenye mizigo anaitua
.
 
Honestly mara nyingi hatutendi tunayoyashauri at least mimi; lkn think about it, kwakuwa mimi naiba waume za watu nishauri wengine wafanye ninayo yafanya wakati najua ni mabaya? At least nipunguze adhabu ya makosa yangu kwa kuhubiri huku nami nikistruggle kufanya mazuri, au unaonaje SnowBall? Utamwambia mwanao unajua ni vigumu kutosex kabla ya ndoa just because wewe ulianza at 14? Au utamwambia is okay kuiba kwakuwa wewe umechonga deal la 5m ofisini ukanunua kiwanja?

Anyway ninaamini pia kuna watu wazuri pia na wanahubiri wanachokitenda.

Nice thread indeed, so much ushauri na encouragement!
Wakati mwingine najiuliza hivi kusema ni rahisi kuliko kutenda?..guys in here seem to be absolutely perfect...lolz!
Kama tunayoshauri hapa ndiyo maisha tunayoishi, basi mbarikiwe sana wanaJF..
Back to the topic, mleta uzi ushauri wangu ni 'wewe kukaa chini na kutafakari sana kuhusu maradhi hususan ngoma mkuu'...Binafsi nipatapo mawazo kama yako nikifikiriaga ngoma tu..everything goes offline....
 
Last edited by a moderator:
Ndoa,ndoa,ndoaaa!!moja kati ya taasisi ngumu sana duniani
 
Mpokee Yesu awe Bwana na mwokozi wa maisha yako,ukiwa nae huyu peke yake ndie anao uwezo
wa kukufanya kushinda dhambi yoyote ile.Hima mpokee ndani ya moyo wako sasa.sema "Bwana Yesu
natubu dhambi zangu zote kwa kumaanisha kuziacha,nipe uwezo wa kushinda dhambi zote,tawala
maisha yangu Yesu ingia ndani ya moyo wangu uniwezeshe kuishi maisha ya utakatifu,katika Jina la
Yesu Ameeen"
Hiyo ndio dawa pekee.
Ameeen, hilo ni pepo la tamaa ya ngono tu, lakini kwa Yesu kila kitu kinawezekana
 
kwahiyo wakrtistu sio wazinifu sio?? au kwa maana nyingine hakuna waislamu waanaoishi bila kuzini nje ya ndoa??

Shoddy responses to serious matters, tuna wakristu wangapi tena wengine hadi wako kwenye madaraja ya juu na wanafanya hayo?? ina maana hawajampokea kristu??

acheni kutoa simple solutions, the guy anahitaji spiritual, clinical and psychological support.... Uzinifu pia ni ugonjwa

ndio nyienyie mnaugua na kukimbilia kuomba kabla ya kunywa dawa

anyway.... maybe you know better na mna solutions simple in everything na dnio maana tupo hapa tulipo leo

Ndugu mbona umekua mkali, kwani ye kasema waisalm wazinifu, ye kashauri kulingana na imani yake kwamba yesu atamponya maradhi yote ya saikolojia na biologia sasa kama kuna amuislam naye atamshauri kwa imani yake jamani imani za dini c ugomvi wala halazimishwi mtu hua anaambiwa tu.
 
hebu jaribu kuanza kuwa mbali na mkeo uone kama wammis. Kama ukimmis jua wampenda
Mke wangu nampenda sana,siihitaji kukaa nae mbali ili kuprove hilo,hata hao wanawake niliotembea nao hawaoni ndani,after all kule natumia condom ,kwa mke wangu kavukavu,still naenda huko kwenye condom,,,,,,unaona shida hapo mkuu?
 
We unajua maana halisi ya kupenda kwl?ukishakuwa kwenye mahusiano na zaidi ya mmoja usiongee kuhusu kupenda maana unanichefua hapo
 
Njoo ufanyiwe maombi.

Nimebahatika kuwa na mke mzuri sana,ni mchanganyiko wa mnyamwezi na muhaya,ni mzuri na ana tabia nzuri sana,tumebahatika watoto wawili,na ndoa yetu ina miaka sita sasa,nina kazi nzuri na nakaa nyumba ya kupanga ya nyumba vitatu Changanyikeni.Kwa kifupi nampenda mke wangu.Kinachoniuma ni kuwa kila nikitoka nje,barabarani,au sehemu za starehe siishi kutamani wanawake wengine na mara kadhaa wale wanaonikubalia nimelala nao guest,achilia mbali gharama ninazotumia kwenye starehe,mke wangu ananipenda sana,na mimi nampenda pia,sipo tayari kumuacha na niko tayari kuilinda ndoa yetu kwa gharama yeyote ile….huwa najuta sana kumsaliti kwani hastahili haya niyayomfanyia,kinachonisikitisha ni kuwa siwezi acha kuendelea kumsaliti.Najiuliza huu ni upepo tu utapita au ni nn?au ndo madhara ya kuwa bookish shule mpaka nikasahau starehe...naomba msaada.
 
Kaka mi nimeanza kwa kudelete number zao za simu na kuwablock,next step nataka kumtoa mke wangu twende mbali like bagamoyo huku tupumzike weekend moja,2013 sitaki kabisa ujinga huu.

ni vizuri ndugu yangu,em wanaume tujaribu kuwapenda wake zetu kama kipindi kile tunaanzisha mahusiano nao
 
nimebahatika kuwa na mke mzuri sana,ni mchanganyiko wa mnyamwezi na muhaya,ni mzuri na ana tabia nzuri sana,tumebahatika watoto wawili,na ndoa yetu ina miaka sita sasa,nina kazi nzuri na nakaa nyumba ya kupanga ya nyumba vitatu changanyikeni.kwa kifupi nampenda mke wangu.kinachoniuma ni kuwa kila nikitoka nje,barabarani,au sehemu za starehe siishi kutamani wanawake wengine na mara kadhaa wale wanaonikubalia nimelala nao guest,achilia mbali gharama ninazotumia kwenye starehe,mke wangu ananipenda sana,na mimi nampenda pia,sipo tayari kumuacha na niko tayari kuilinda ndoa yetu kwa gharama yeyote ile….huwa najuta sana kumsaliti kwani hastahili haya niyayomfanyia,kinachonisikitisha ni kuwa siwezi acha kuendelea kumsaliti.najiuliza huu ni upepo tu utapita au ni nn?au ndo madhara ya kuwa bookish shule mpaka nikasahau starehe...naomba msaada.

pole sana,
humpendi mke wako.
 
pole sana,
humpendi mke wako.
Nampenda sana kaka,na hao wanawake usifikiri nawapenda,huishia kujuta sana baada ya kudo,lkn ndo hivyo siachi kuacha kudo nao.
 
wacha kutufanya watoto wadogo wewe unampenda mkeo kwa kitu mali, watoto au kuna kitu cha ziada ndicho kinachokufanya usiweze kuachana na mkeo kama sio hivo vitu wewe ungesepa zamani,
Kama ningelimjua mkeo basi ningelitafuta dawa ya kunasa huko unkokwenda unase na usitoke kabisa

Vipi ikitokea watu wakakugegeda pia utakuja hapa kutueleza?
 
tehe tehe .....jini mahaba...hata mimi yamenikuta halafu mbaya zaidi sometimes nje napiga vizuri ndani ngoma inakataa kata kata sababu ya guilty conciousness!!!
Ajabu!!! mi nikiwa na mkewangu ndo nafanya vizuri sana sababu tumezoeana, kiasi kwamba kwingine sitamani kabisa.
 
Nimebahatika kuwa na mke mzuri sana,ni mchanganyiko wa mnyamwezi na muhaya,ni mzuri na ana tabia nzuri sana,tumebahatika watoto wawili,na ndoa yetu ina miaka sita sasa,nina kazi nzuri na nakaa nyumba ya kupanga ya nyumba vitatu Changanyikeni.Kwa kifupi nampenda mke wangu.Kinachoniuma ni kuwa kila nikitoka nje,barabarani,au sehemu za starehe siishi kutamani wanawake wengine na mara kadhaa wale wanaonikubalia nimelala nao guest,achilia mbali gharama ninazotumia kwenye starehe,mke wangu ananipenda sana,na mimi nampenda pia,sipo tayari kumuacha na niko tayari kuilinda ndoa yetu kwa gharama yeyote ile….huwa najuta sana kumsaliti kwani hastahili haya niyayomfanyia,kinachonisikitisha ni kuwa siwezi acha kuendelea kumsaliti.Najiuliza huu ni upepo tu utapita au ni nn?au ndo madhara ya kuwa bookish shule mpaka nikasahau starehe...naomba msaada.

One a player, Always a prayer. You willnever stop it mpaka ukimletea ukimwi mkeo, si unajua njia ya mwongo ni fupi!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom