Oscar Lyrics
JF-Expert Member
- Oct 8, 2022
- 2,975
- 5,112
Ndoa ndoano
Duh kuna mambo mengi siyajuiNdio
Nakwambia sijatombana nae siku nyingi
Huwa namnyima
Ili uwe na mzuka
Vipi kwani mkuu, mmeanzia wapi, mfuqa umekushinda vipi kuutafuna nije na msumeno?Duh kuna mambo mengi siyajui
ngoja nimuite Mjusi Sharobalo Jamaa yangu anisaidie kwa hili nimechoka!
Mtoto wa kimasai huyo ruka nae we ni mtaalam nimekupa pass ndefu kazi kwako!Vipi kwani mkuu, mmeanzia wapi, mfuqa umekushinda vipi kuutafuna nije na msumeno?
Aiseee! Nikikuweka ndani si utaniuwa kwa upwiru sasa?Ndio
Nakwambia sijatombana nae siku nyingi
Huwa namnyima
Ili uwe na mzuka
Hapo nimekumanya ngoja nichangaje zege kwa kasi nikarabati ufa.Mtoto wa kimasai huyo ruka nae we ni mtaalam nimekupa pass ndefu kazi kwako!
Nishaolewa mjusiAiseee! Nikikuweka ndani si utaniuwa kwa upwiru sasa?
Umeshaanza kuharibu nenda nae polepole mnyatie km nyauHapo nimekumanya ngoja nichangaje zege kwa kasi nikarabati ufa.
Kwa hiyo nafasi zimejaa?Nishaolewa mjusi
Siyo mbaya, kwetu sisi wakulungwa tunaamini katika imani ya kubadili mboga siku moja moja siyo mbaya, huwezi kula maharagwe kila siku bibie.Nishaolewa mjusi
Usihofu mkuu, hapa hachomoi.Umeshaanza kuharibu nenda nae polepole mnyatie km nyau
ukishindwa nishirikishe haraka
watoto wa kimasai sio km wazaramo!
Ndyo maana mim nmemwambia mshengq wangu tuachane na posa niliyoitoa Kwa yule Binti cheupe maana bado natamani kuwa singleHabar za usiku huu wakuu
NItaeleza kwa ufupi.
Huyu ambaye nazungumzia mada yake ni rafiki yangu sana, tunafanya wote kazi sehem moja.
Sasa Kuna huyu rafiki yangu mwingine ambaye ni WA nyumbani, ni mjasiriamali ana ofisi yake anafanya biashara zake, ni smart sana.
Huyu rafiki yangu ninayefanya nae kazi ana mke wake amemfungulia biashara yake kule mtaani ni mama ntilie, anafanya kazi na ndugu zake(wanawake)
Mara nyingi huyu shemeji yangu husambaza chakula maeneo ya huku mtaani karibu na ofisi ya huyu jamaa yangu wa kitonga
Iko hivi siku moja weekend nilikuwa mtaani, nikasema ngoja niende kwa mshkaji wangu nikale unyama(free Wi-fi) nikafika nikapoa pale na jamaa, nimekaa pale nilikuwa nimeagiza msosi nasikilizia, mara akaja pale yule shemeji yangu, Mimi nimepoa pembeni nakula unyama, hee nikaona jamaa anaongea na yule shemeji yangu nikasema hizi ni biashara Mambo ya msosi wakala pale yule shemeji akaondoka( Sina mazoea nae kabisa lakini anajua Mimi ni shemeji yake)
Sasa Kuna siku moja weekend, ilikuwa mechi kati ya simba na esperance ugenini. Nilikuwa kwa mshkaji wangu wa kitonga, nikamuuliza game si tunaangalia? Amna Kuna mechi nyingine naenda kucheza😄😄 nacheka lakini..... Nataka kusema kitu lakini Sheria za jukwaa zinanibaña.
Kumbe jamaa siku Ile alikuwa anaenda kumkula yule shemeji yangu, siku Ile mechi imeisha jamaa amerudi nikamwambiya vip mzee game yako imeishaje? Jamaa akasema nilicheza first half tu, second nilikimbia, tukaachana.
Juzi nimekaa na jamaa tunapiga stori nikawa namsimulia kwamba yule anayepika misosi ni shemeji yangu, ndo akaanza kunipa stori.
Kwamba yule manzi(shemeji) alikuwa anamkubali kinoma, nikamuuliza hakukwambya kuwa ameolewa? Akasema yeye alikuwa anajua kitambo na alikuwa anamcholea demu akawa king'ang'anizi jamaa akaamua kupita nae.
Jamaa ameniambiya vingi, Ila aliongea viwili vikubwa ambayo ni
1. Najua kumchoropoka kuja kwako, na hata akituona hawezi Fanya kitu nammudu.
2. Sijasex mda mrefu sana(first time wanasex)
Ndoa zinatisha.
Good adviceongea na shem wako. kumuokoa mwanao wa kazini. akija kugundua jamaa atakuchukia na ww atajua ulikua unajua.