Nimeshikilia Hatma ya ndoa ya Rafiki yangu

Nimeshikilia Hatma ya ndoa ya Rafiki yangu

Nadhani utakua na umri mdogi bado. Ila ukikua hutasema tena “umeshikilia hatma ya ndoa ya mtu” maana hata mkeo atakua na meusi meusi usiyojua ila wana wanajua. Mambo yasiyotuhusu huwa tunakufa nayo moyoni mdogo wangu
Mhmmm mshkaji akija letewa ukimwi je?
 
Kama una umri mzuri wa kufikiri basi utakubaliana na mm kuwa huwa wanaume huwa hatuzungumzi mambo ya watu hasa kama hatujaulizwa.
Kwa hiyo unaweza ona jambo la hatari likiwa mbioni kumpata mshkaji wako kisa tu hajakuuliza, ukapiga kimya? Kisa una umri mzuri wa kufikiri?
 
Kaa mbalu.
Masuala ya ndoa acha mtu yampasue kichwa mwenyewe ndio ataelewa, hii ya kushaur shauri huwa haileti matokea mazuri. Atakuja tu kujua,ila mpaka wakat huo, punguza ushkaji na washkaji zako wote wawili plus huyo manzi. Kata mawasiliano nao wote.
 
Nafikiri anachomaanisha ni kwamba "usiingilie mambo ya nyumba ya mtu"
Nimeelewa kabisa , mimi nilitaka nifahamu pia kuhusu hasara za kuvunga na pia msela wake akija kujua kumbe jamaa yake alikua anajua itakuaje ?
 
Jamaa ameniambiya vingi, Ila aliongea viwili vikubwa ambayo ni
1. Najua kumchoropoka kuja kwako, na hata akituona hawezi Fanya kitu nammudu.
2. Sijasex mda mrefu sana(first time wanasex)

Ndoa zinatisha.
Hao ndio Wanawake..
 
Back
Top Bottom