C.T.U
JF-Expert Member
- Jun 1, 2011
- 5,070
- 3,718
Nenda pale seedspace Victoria pale utakutana na mwakilishi wa Andela nchini..
Atakusaidia kupata watu ambao ni wazuri katika coding
Mkutane mkae chini mtengeneze Kampuni ya technology
Mtatengeneza website ambayo itakuwa ni ya listing kama vile
www.zillow.com
Sasa basi website yako itakuwa na Dashboard ambayo mmiliki wa nyumba atakuwa anapost nyumba yake moja kwa moja hana Haja ya dalali
Lakini pia mteja akishapenda nyumba anafanya malipo kupitia kampuni yenu moja kwa moja then mnamlipa mwenye nyumba huku mkitoa commission yenu inakuwa deducted..
Let's say ni 2%
Let's say nyumba ni 30M nyie mna 600K
Nyumba ni 300M nyie mna 6M
Kwa kuweka 2% ambayo ni ndogo sana itawavutia wenye nyumba wengi kulist na nyie
Ni biashara moja nzuri sana ambayo ukiifanya kwa umakini na kwa akili akaunti yako ya benki na ile ya diamond itakuwa hazina tofauti

Heshima mbele.
Wandugu nimeshasajili kampuni kamili LTD by share. Lengo lake muhimu ni kufanya kazi ya udalali wa Nyumba za kupanga,kuuza, viwanja mashamba hasa mkoa wa pwani. Tunategemea kuweka magari baadaye.
Hata hivyo, nimekumbana na Changamoto ya madalali wa chini ya mti ambao hawataki kunipa ushirikiano. Wengi wameniambia live kwamba tukishirikiana na wewe na baadaye wateja wakijua ofisini kwako watakuwa wanakuja moja kwa moja kwako na sisi itakula kwetu. Ni kama wanaambina sasa hapa ubungo tena sipati ushirikiano wao. Kwa unyenyekevu sana naomba ushauri wenu nitokeje?
Pili, nina tatizo la matangazo. Siwezi kutumia magazeti redio na TV kwa sasa kwa sababu ya kiuchumi. Kidogo kidogo nilkuwa naanza kuweka broshure ( black and white) si nzuri sana lakini pia haijaniletea matokea mazuri. Naombeni ushauri wenu kabla sijakata tamaa. Mlioanzisha biashara mlivukaje changamoto hizi?