Nimeshasajili kampuni LTD ya udalali wa Nyumba za kupanga/kuuza, viwanja na mashamba. Naomba ushauri

Nenda pale seedspace Victoria pale utakutana na mwakilishi wa Andela nchini..

Atakusaidia kupata watu ambao ni wazuri katika coding

Mkutane mkae chini mtengeneze Kampuni ya technology

Mtatengeneza website ambayo itakuwa ni ya listing kama vile

www.zillow.com

Sasa basi website yako itakuwa na Dashboard ambayo mmiliki wa nyumba atakuwa anapost nyumba yake moja kwa moja hana Haja ya dalali

Lakini pia mteja akishapenda nyumba anafanya malipo kupitia kampuni yenu moja kwa moja then mnamlipa mwenye nyumba huku mkitoa commission yenu inakuwa deducted..

Let's say ni 2%

Let's say nyumba ni 30M nyie mna 600K

Nyumba ni 300M nyie mna 6M

Kwa kuweka 2% ambayo ni ndogo sana itawavutia wenye nyumba wengi kulist na nyie

Ni biashara moja nzuri sana ambayo ukiifanya kwa umakini na kwa akili akaunti yako ya benki na ile ya diamond itakuwa hazina tofauti

Heshima mbele.

Wandugu nimeshasajili kampuni kamili LTD by share. Lengo lake muhimu ni kufanya kazi ya udalali wa Nyumba za kupanga,kuuza, viwanja mashamba hasa mkoa wa pwani. Tunategemea kuweka magari baadaye.

Hata hivyo, nimekumbana na Changamoto ya madalali wa chini ya mti ambao hawataki kunipa ushirikiano. Wengi wameniambia live kwamba tukishirikiana na wewe na baadaye wateja wakijua ofisini kwako watakuwa wanakuja moja kwa moja kwako na sisi itakula kwetu. Ni kama wanaambina sasa hapa ubungo tena sipati ushirikiano wao. Kwa unyenyekevu sana naomba ushauri wenu nitokeje?

Pili, nina tatizo la matangazo. Siwezi kutumia magazeti redio na TV kwa sasa kwa sababu ya kiuchumi. Kidogo kidogo nilkuwa naanza kuweka broshure ( black and white) si nzuri sana lakini pia haijaniletea matokea mazuri. Naombeni ushauri wenu kabla sijakata tamaa. Mlioanzisha biashara mlivukaje changamoto hizi?
 
Jamaa hana mtaji huo
 
@breaky tunaomba mwongozo mkuu
Kitu cha kwanza achague jina atakalotumia,name search (Brela)
* Atafute mwanasheria amwandalie Memo and Article Association atapeleka brela na kulipia gharama ambazo ziko kwenye website ya Brela.
Ila kama ni udalali tu ningeshauri asajiri tu jina la biashara then atafute leseni na kuanza kupiga kazi
 
Nenda pale seedspace Victoria pale utakutana na mwakilishi wa Andela nchini..

Atakusaidia kupata watu ambao ni wazuri katika coding

Mkutane mkae chini mtengeneze Kampuni ya technology

Mtatengeneza website ambayo itakuwa ni ya listing kama vile

www.zillow.com

Sasa basi website yako itakuwa na Dashboard ambayo mmiliki wa nyumba atakuwa anapost nyumba yake moja kwa moja hana Haja ya dalali

Lakini pia mteja akishapenda nyumba anafanya malipo kupitia kampuni yenu moja kwa moja then mnamlipa mwenye nyumba huku mkitoa commission yenu inakuwa deducted..

Let's say ni 2%

Let's say nyumba ni 30M nyie mna 600K

Nyumba ni 300M nyie mna 6M

Kwa kuweka 2% ambayo ni ndogo sana itawavutia wenye nyumba wengi kulist na nyie

Ni biashara moja nzuri sana ambayo ukiifanya kwa umakini na kwa akili akaunti yako ya benki na ile ya diamond itakuwa hazina tofauti
Wewe mbona hujafanya?
 
Heshima mbele.

Wandugu nimeshasajili kampuni kamili LTD by share. Lengo lake muhimu ni kufanya kazi ya udalali wa Nyumba za kupanga,kuuza, viwanja mashamba hasa mkoa wa pwani. Tunategemea kuweka magari baadaye.

Hata hivyo, nimekumbana na Changamoto ya madalali wa chini ya mti ambao hawataki kunipa ushirikiano. Wengi wameniambia live kwamba tukishirikiana na wewe na baadaye wateja wakijua ofisini kwako watakuwa wanakuja moja kwa moja kwako na sisi itakula kwetu. Ni kama wanaambina sasa hapa ubungo tena sipati ushirikiano wao. Kwa unyenyekevu sana naomba ushauri wenu nitokeje?

Pili, nina tatizo la matangazo. Siwezi kutumia magazeti redio na TV kwa sasa kwa sababu ya kiuchumi. Kidogo kidogo nilkuwa naanza kuweka broshure ( black and white) si nzuri sana lakini pia haijaniletea matokea mazuri. Naombeni ushauri wenu kabla sijakata tamaa. Mlioanzisha biashara mlivukaje changamoto hizi?
Huu uzi ni wa NOVEMBER 29, 2012. Mtoa uzi kampuni imefikia wapi? Miaka nane si haba?
 
Ulishaona kampuni ya consultation iliyoajiriwa kuishauri Acacia ikaanzisha kampuni ya madini.. ?

Zamani enzi za JF za Great thinkers nyie hamkuwapo sijui mmetokea wapi
acha uongo capitalist ni free makert hakuna wa kuzuia
 
Back
Top Bottom