Nimeshaomba kazi mara 250, sijabahatika!

Nimeshaomba kazi mara 250, sijabahatika!

Chukua " like.
Kuna waganga wako vizuri sana wanaweza kumsaidia, kuna watu watakuwa wameshika nyota yake,

Mkuu yani ayo mambo yalishanikuta tena ndgu yangu wa karibu sana ndo alichukua nyota yangu so kuna waganga wanakarama ya kusaidia watu
 
Mbona simple mganga wangu una safiri mpaka huko aliko anakupa dawa ukishafanikiwa ndo unaenda kutoa asante
Upo serious kweli, siwahamini sana waganga, sijui utaniaminisha kwa lipi niwaamini.Labda weka namba ya simu ya huyo mtaalamu nimfanyie assement na research ya nguvu.
 
Upo serious kweli, siwahamini sana waganga, sijui utaniaminisha kwa lipi niwaamini.Labda weka namba ya simu ya huyo mtaalamu nimfanyie assement na research ya nguvu.

Ahahahaha,,,, mkuu maji ayapimwi kwa kutanguliza mguu
 
ungana na mimi tuwe tunauza machungwa na kondomu usiku kwenye viwanja vya machangu
 
you're not serious at all haiwezekani kila unalofanya halitimii na tatizo hujatulia huna vision unapo fail jambo fulani unapaswa kukaa chini kujiuliza ulipojikwaa, kuzijua changamoto na mbinu za kuzikabili umetaja zaidi ya vitu 5 umejaribu vyote ume fail una matatizo. wengine wanapo fail huwa wanajifunza ni kitu gani kimewafelisha then wanajaribu tena

na kumbuka the more you stay in a certain business ndivyo unavyo gain experience, maarifa na mbinu za kukabili changamoto unakuwa tofauti sana na yule anayekuja kuanza biashara au shughuli ya aina yako hata aje na mtaji mkubwa mara 10 zaidi yako wewe unamzidi maarifa na experience ya shughuli husika. kitendo cha ku quit jambo kisa limernda mlama na kuanza jambo jingine linakufanya wewe kuwa beginner na learner every morning. Hakuna jambo jepesi duniani tofauti na kula,ngono na kwenda chooni hayo hata wanyama wanaweza yaliyobaki yote si mepesi hata kidogo.

sijaelewa hapo biashara ilikuwa mbaya ukaanza kuuza 300000 hadi laki 5. hapo si imezidi?? hii inaweza. kuwa chai hiii
 
Unaonekana ni mtu ambaye huna uvumilivu & unashindwa kutulia eneo moja, ndio maana umejikuta unafanya kila biashara. Nani kakuambia kuwa utapata faida tu bila setback kwa biashara utakayoifanya? Changamoto hutokea, na ndicho kipindi cha kukomaa maana ukivuka hapo next time ikitokea utakuwa na mbinu za kutoka. Lakini kama ukiona changamoto zinatokea, then uka give up na kuanzisha biashara nyingine, itatokea tena na uta give up tena. Mwisho wa siku utakuwa unaona hakuna mafanikio.

Tulia, na anzisha biashara moja na uwe mvumilivu. Mchawi yuko ndani yako mwenyewe. Inuka na umshinde!
 
Huwezi kujaza application form 250 halafu ukakaa nyumbani ukisubiri jibu, ilibidi ufatilie ni bora kwenda mwenyewe na kuongea ana kwa ana kuliko kutuma maombi hilo moja umefeli.
La pili unafanya biashara kwa miezi 6/7 halafu unategemea kupata faida na kuendelea.
Mbona unaonekana msomi halafu hufuati kanuni za biashara hujui kuwa biashara 100 zinazoanzishwa ni chache sana zinavuka miaka miwili zingine hufa kama yako?
 
Hii story imekaa Kama kicomedy flani Hivi amaizing.

Ningeweza ningekupa namba yangu ya simu tuwasiliane. Waganga wa kienyeji hapana, kama maisha yataendelea hivi hivi basi mungu atanichagulia njia iliyonjema kwake, nami nitamshukuru.
 
Ningeweza ningekupa namba yangu ya simu tuwasiliane. Waganga wa kienyeji hapana, kama maisha yataendelea hivi hivi basi mungu atanichagulia njia iliyonjema kwake, nami nitamshukuru.

Basi kama una kataa dawa wewe huumwi umekuja kudanganya watu humu acha ujinga.
 
Huwezi kujaza application form 250 halafu ukakaa nyumbani ukisubiri jibu, ilibidi ufatilie ni bora kwenda mwenyewe na kuongea ana kwa ana kuliko kutuma maombi hilo moja umefeli.
La pili unafanya biashara kwa miezi 6/7 halafu unategemea kupata faida na kuendelea.
Mbona unaonekana msomi halafu hufuati kanuni za biashara hujui kuwa biashara 100 zinazoanzishwa ni chache sana zinavuka miaka miwili zingine hufa kama yako?
Nina mambo mengi sijapenda kuyaweka yote hapa. Pili Haujasoma vizuri ujumbe wangu. Tatu mimi sio milionare pesa ninayoipata kidogo ndo naipeleka kwenye biashara lakini zinagoma. Nisinge weza endelea na biashara wakati natumia mtaji kulipa umeme, Tra, halmashauri, mabango, kodi ya nyumba 150,000 kwa mwezi, nimlipe msaidizi nk. Unakaa dukani siku nzima hakuna Mteja.
 
Upo serious kweli, siwahamini sana waganga, sijui utaniaminisha kwa lipi niwaamini.Labda weka namba ya simu ya huyo mtaalamu nimfanyie assement na research ya nguvu.

better you fall in the good hard hands of God than in the soft hands of the devil.......mwamini Mungu utashinda. Mungu na shetani wote wanakutamani japo mmoja wao ashaanza kukuonesha uzuri wake kwa wazi na mmoja amekuficha uzuri wake japo yupo karibu tu anasubiri maamuzi yako.
Ni mapito ndugu mgeukie Mungu kwa moyo wa toba na kuhitaji sana msaada wake. Mungu akutokezee msaada toka patakatifu pake na aitegemeze miguu na magoti yako yasilegee.
Kumbukumbu la Torati 30:11-16
 
Nina mambo mengi sijapenda kuyaweka yote hapa. Pili Haujasoma vizuri ujumbe wangu. Tatu mimi sio milionare pesa ninayoipata kidogo ndo naipeleka kwenye biashara lakini zinagoma. Nisinge weza endelea na biashara wakati natumia mtaji kulipa umeme, Tra, halmashauri, mabango, kodi ya nyumba 150,000 kwa mwezi, nimlipe msaidizi nk. Unakaa dukani siku nzima hakuna Mteja.

Sensitive but crucial!

Una muda gani na mkeo katika matrimonial relationship?

Wakati ukiwa successful, ulikuwa naye?
 
kaka kuna kitu unakosea.. binafsi ni 28 yrs of age nina mke na mtoto mmoja. mimi nilifanya kazi miaka minne na ku resign mwenyewe mwaka huu january.. na nililipanga hili toka naanza kazi kwamba baada ya miezi 36 naacha kazi.. sema kuna target zilikuwa hazijatimia nikaongeza mwaka mmoja mbele na sijawai kujutia na naenjoy sana sabab nachokifanya nakijua vizuri sana na nimefanya toka utotoni..

kujaribu jaribu biashara ni kosa kubwa sana sababu kila siku unakuwa learner

ku stay kwenye kitu kimoja mda mrefu kinakupa experience na ndio key ya kufanikiwa.

binafsi ninamiliki workshop ya textile printing, kama t shirts, kofia, mabango na handkerchiefs.na vinginevyo vingi sana.

wakati naacha kazi nililipwa 18m na nssf ( na nilikuwa na savibg ya hela ya kulisha familia kama 4m).. na biashara yangu ilikuwepo tayari nikaiobgezea nguvu ya mashine kubwa kwa kama 12m.. na ilibaki kama milion 6.. sikutaka kuiweka kwenye biashara nyingine yoyote nikaamua kuchimba kisima kinisaidie maji ya kutumia na kuuzia majirani..

sikutaka kufanya biashara yoyote sababu sizijui nikabase kwa ninachokijua zaidi ya 10yrs..

sikudanganyi msimu wa uchaguzi nilitengeneza zaidi ya mshahara wangu wa mwaka mzima (t shirt zaidi ya 10,000 plus kofia kibao zimepigwa workshop kwangu)..

na hunidanganyi chochote kwenye textile printing with my 10 yrs experience toka enzi za manual kwa vibao vya screen nasoma sekondari mpaka leo digital printing na embroiding...

wote walioniiga biashara wamefeli na najua wanachomis ni experience na mimi nikajifunza kutoiga biashara yoyote kwa kukurupuka,, nina kaka yangu kapoteza 7m kwenye hii biashara sababu hajui alikurupuka.. kuna vitu ni siri mfanyabiashara amfundishi mwenzake hata iweje)

kwa ushauri tu toa sana sadaka. na nenda kanisani / msikitini ufanyiwe ibada.. muweke Mungu mbele hautafeli ndugu yangu.

(nisikudanganye hakuna mfanyabiashara anaeleza siri za biashara yake.. so unapoiga biashara mpya utafeli tu.. na iki ufanikiwe lazima ukae kwenye business moja mda mrefu ili upate experience baada ya kuanguka mara nyingi na ujue mbinu za kila kitu)
 
kwani kuajiriwa lazimaa? anza na biashara ya karanga tu za tsh. 10000 utamiliki duka kama kweli unania ya mafanikio, funga mkanda, kaza buti, mitandao acha kwanza, ukiulizwa vp mbona huonekani wajibu HAPA KAZI TUU.
 
Mrudie Mola, na kama una mkosea mkeo pia
jaribu kuchunguza kwani yaweza kuwa ni pigo
ila huja jua uelekeo linakotokea.
 
mshanajr njoo uokoe nyota ya mutu huku!
 
Last edited by a moderator:
Napenda sana nikae kwenye biashara muda mrefu tu na nifanikiwe. Ila kwa namna ninavyoanguka ndio inanipa ugumu wa kuirudia. Ukitaka kurudi ili uanze tena upya the same business lazima ujue kwanza nini kilikukwamisha awali. Kwa mfano tokea mwezi wa tano mpaka sasa sijui ni kitu gani kilikimbiza wateja kwenye biashara ya duka gafla bin vuu. Najiuliza sipati majibu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom