Nimeshangaa kukuta Benki ni kweupe

Nimeshangaa kukuta Benki ni kweupe

kikwete my prezidenti. i will always remember your leadership.
sasa tunataabika na huyu tingatinga, maana pesa zinakauka hatari.
 
hujanijibu hoja yangu, niambie namna ya kuipata hiyo Pay in Slip kwa kutumia online ili nami nisiende huko. Nimeambiwa makato ni makubwa sana ukitumia online banking, kweli si kweli?

Inategemea na bank yako
Kuna banks wanachaji a minimal fee
Nyingine ni free
Kulikoni upoteze muda wako kwenye foleni, parking, ujambazi etc ni bora ulipe tu hiyo fee ndogo
Ushauri tu
 
Ukiona hivyo ujue UCHUMI umepanda zaidi kwa mwezi huu, na utakua umepanda kwa asilimia 99.9
 
Kuna miamala mingine lazima ufike bank, fikiria unataka kuweka fedha bank, huwezi kuweka online, utakwenda tu bank halafu ukitaka kuzitumia ndipo online banking inapofanya kazi.
Lakini pia bado zipo taasisi ambazo ili kujiridhisha kuwa umelipia huduma fulani, lazima uwapelekee pay slip, huna namna, lazima utakwenda bank.
Ni kweli teknolojia imeturahisishia sana katika ishu nzima ya utumiaji wa fedha zetu mara tuziwekapo bank
Kukosekana kwa watu bank, ni ishara kuwa watu hawana pesa za kupeleka huko, kinachopatikana kinaliwa, senti ya kuweka akiba haipo.
 
Ndugu yangu hebu fikiria siku moja umekwenda nyumbani kwenu kijijini halafu unakuta nyumba nzima hawapo kinyume na ulivyotarajia ukute, siutashangaa na kuanza kuulizia majirani wakwambie kumetokea nini na wamekwenda wapi, na watarudi muda gani, n.k. au unakaa chini na kulegeza kamba zako za viatu? lazima utakuwa na kasoro kichwani kama hutashangaa!!!
Pale we umeenda ukiwa mteja wa benki hujaenda kwa ajili ya kukutana na watu. Kwenu ukienda unaenda kwa lengo la kuwatembelea ndugu hivyo ukiwakosa lazima utastaajabu
 
Watu wako bize kufanya kazi sasa hivi hawana muda wa kupoteza bank...wanatumia SIMBANKING....
 
Kuna miamala mingine lazima ufike bank, fikiria unataka kuweka fedha bank, huwezi kuweka online, utakwenda tu bank halafu ukitaka kuzitumia ndipo online banking inapofanya kazi.
Lakini pia bado zipo taasisi ambazo ili kujiridhisha kuwa umelipia huduma fulani, lazima uwapelekee pay slip, huna namna, lazima utakwenda bank.
Ni kweli teknolojia imeturahisishia sana katika ishu nzima ya utumiaji wa fedha zetu mara tuziwekapo bank
Kukosekana kwa watu bank, ni ishara kuwa watu hawana pesa za kupeleka huko, kinachopatikana kinaliwa, senti ya kuweka akiba haipo.

Unaweza kudeposit cash na checks kwenye atm bila kuingia ndani ukapange foleni
Mshahara wako ukiupitishia via direct deposit ndio kabisaa umemaliza
 
Utamuuzia nani hizo mboga zako? Nyanya zimejaa zinakosa mnunuaji.
ng'ombe wanakula nyanya na kujifunza kurushiana ka mpira. inasikitisha kwa wale wote waliolima nyanya na zimekosa soko. inavunja moyo lakini msikate tamaa
 
Pale we umeenda ukiwa mteja wa benki hujaenda kwa ajili ya kukutana na watu. Kwenu ukienda unaenda kwa lengo la kuwatembelea ndugu hivyo ukiwakosa lazima utastaajabu
Ukienda kama mteja unataka kusafiri pale Ubungo bus terminal ukajikuta uko peke yako kwenye basi linaloelekea Rombo haitakushangaza hiyo nayo, nadhani kuna shida hapo
 
Kutokana na automation wateja wengi hufanya transactions online
Hata Wewe mleta mada hukutakiwa kwenda bank
Ni hali Ya kawaida sana
Hacha uwongo halo mbaya wewe,unataka utuaminishe wayanzania kwa maana ya Wateja wa benki wangapi wanaweza kufanya online banking.acha kuwa na kichwa kikubwa ubongo mdogo
 
Hacha uwongo halo mbaya wewe,unataka utuaminishe wayanzania kwa maana ya Wateja wa benki wangapi wanaweza kufanya online banking.acha kuwa na kichwa kikubwa ubongo mdogo
Hacha = Acha ( marekebisho Ya lugha)
Shukrani mkuu
Asante sana
Next question???
 
What will Sizonje do because the economy is totally shaken?
 
Unaweza kudeposit cash na checks kwenye atm bila kuingia ndani ukapange foleni
Mshahara wako ukiupitishia via direct deposit ndio kabisaa umemaliza
Mkuu huoni hata kwenye hizo atm ambapo wateja wangeweza kuweka fedha kwa cash au check na kwenyewe kumepwaya?
 
Back
Top Bottom