Nimeshangaa hii Mahari, sikuitegemea

Mkuu haupo mdogo wake mwingine unikabidhishe?
 
Usikute gumegume Mkuu. Lilisha mtwanga magumi mamake, lilishatembea na waume za watu mtaa mzima, lilishakula uroda na vijana wote wa mtaani, lilisha wahi kuliwa uroda hadharani, n.k

Fanya utafiti Mkuu.
 
Mahali ni appreciation tu , kimsingi mahali kubwa ni sawa na kumuza bunti yako.
 
Mahali ni appreciation tu , kimsingi mahali kubwa ni sawa na kumuuza binti yako.
 
Hapo sina neno basi hayo mambo yaanzie kanda ya ziwa maana ng'ombe kadhaaa
Kwa kuwa mabinti wa kileo wanaoolewa ni decent na kwamba kutokana na changamoto za maisha wanajikuta ndoa zinafungiwa mjini na kwa kuwa kupeleka ng'ombe mjini ni kuchochea si tu mgogoro wa wakulima na wafugaji bali hata na wafanya biashara na watumiaji wengine wa mji basi kwa kauli moja tukokotoe tu gharama za ng'ombe tajwa hela itolewe ili zoezi la risiti liende kama ilivyopangwa!
 
Good point
 
Yah kwa mujibu wa imani ya Kiislamu, mahari ni zawadi inayotolewa na muowaji, kumpa anaeolewa. Kwahiyo anaepaswa kutamka zawadi hiyo ni mwanamke, ila kwa sasa wazizi wangine huu ni mradi wa kuboresha uchumi.
Ila kwa mtanzamo mwingine mahaari, ni kipimo cha kumpima mume kama anaweza kuntuza binti kwa kiwango gani.
 
Wakwe waelewa,maana hawa wasichana wa mwendokasi hawaeleweki mazee...
 
Hongera zako mkuu. Inaelekea wakwe zako ni watu objective sana
 
Mara ya mwisho mahali kupolewa kwetu ilikuwa 5.8M sijui kwasasa itakuwaje ,nawaza tu.
Teh teh... huyo dada yenu alikuwa na papuchi ya dhahabu au wazee walikuwa wanatafuta mtaji wa biashara? 5.8m is unrealistic.
 

hiyo Tanga ipi mkuu natumai sio ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania!
 
hongera mkuu upate wepes ktk ndoa yako tarajiwa

waislaam tunaamin ndoa ya mahari kidogo in baraka. ila mahari ni ya mwanamke na utashi wake hata akitaka gold mountain ndo hivyo tena ila kwa mapenz yao na kujali wake wema huangalia hali zetu na hutufanyia wepesi ktk mahari

mtunze vyema mtoto wa watu
 
Tupe wasifu ws huyo mke tafadhali..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…