Nimeshaanza kujisogeza Buguruni makao makuu ya CUF

Nimeshaanza kujisogeza Buguruni makao makuu ya CUF

OgwaluMapesa

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2008
Posts
10,942
Reaction score
437
Wakuu salama
Kiukweli sijalala usiku nilikuwa nafikiria patakucha muda gani ili nianze kujisogeza ofisi za chama cha cuf pale buguruni mahali ambapo mgombea wa ukawa leo atakuwa pale
Nashukuru Mungu hatimaye kaniamsha salama sasa ni dk kumi kufika ofisi za cuf kwahiyo moja kwa moja nitawapa updates............
Tumejipnga kwa namna yoyote ile kwa wale wote walio tengenezwa na ccm kuleta vurugu kwani kuna tetesi jana kuwa wamepanga kuhujumu kikao cha leo,Mungu ibariki Tanzania Mungu ibariki UKAWA

Updates....
Tayari niko ofisi za cuf geti limefungwa wakuu tunasubir mlinzi muda muafaka ukifika alegeze geti kwani tayari naona kuna baadhi ya masela hapa nao nimekuwakuta hapa nao wameamka kombora kuja kuona mtananange hakika nimeamini Ukawa tunakwenda kubeba nchi asubuhi na mapema kama lowass alivyotuambia tunabeba nchi asubuhi na mapema kabla ibada ya kwanza haijaingia
 
Watu mnahasira asubuhi yote mmeshaanza kuzama buguruni
 
Mkuu umenichekesha mno..

Unajuwa Mkuu hapa ndipo unaona watu walivyo ichoka Ccm
Angalia tu mtu kaacha kazi zake zote na kachomoka usiku wote anaenda buguruni kusubiri aone mkutano wa mgombea urais wa ukawa anafanya mkutano salama na awahabarishe kinacho endele.Huu ni moyo wa kipekee
 
Unajuwa Mkuu hapa ndipo unaona watu walivyo ichoka Ccm
Angalia tu mtu kaacha kazi zake zote na kachomoka usiku wote anaenda buguruni kusubiri aone mkutano wa mgombea urais wa ukawa anafanya mkutano salama na awahabarishe kinacho endele.Huu ni moyo wa kipekee

Hahahaha kweli CCM imechokwa.. Jamaa alikuwa anawaza patakucha saa ngapi
 
Sie tutatia timu kubwa kesho rasmi, leo kuna kombania ndogo tu ya kawaida. Kofia za ukawa/lowassa, fulana za ukawa/lowassa, vibendera vya ukawa/lowassa! Ni chadema, cuf, nccr, na nld mwanzo mwisho!

Bodaboda, waenda kwa miguu, mama ntilie, taxi drivers, baiskeli, kwa kifupi jiji la dsm kesho litasimama shauri ya msongamano kwa wananchi wapenda mabadiliko kwenda kuchukua fomu ya rais wao!

Viva ukawa! Viva Lowassa!
 
Back
Top Bottom