Nimesahau wallet

Olesaidimu waambie hao!!! KAMA WANAFIKIRI MAPENZI NI PESA BASI WAOLEWE NA CRDB,NMB,NBC,BARCLAYS.
 
....Ya kwake ilikuwa nyeupeeee ina vipodozi tu na nanihiii ya kunanihii lol!!!!

 
Kwani siku izi ela ipo kwenye waleti au kwenye simu?!
We uyo umchune ununua gari kwa ajili ya wazazi?!
 
yeye kila mtoko anasahau wallet ng'astuka tena angemshusha kwa makofi.
Wanaume mchelemchele shida sana
kama huwezi kulipia outing hata familia hutaweza kuihudumia
Hahahahah

Eti wanaume mchelemchele

Hahahahah

Watu mna maneno
 

huuuuuuu leo baba nanihiii umekuwa mkali sana...... Nimeogopa na bakuli nalifunga....
 
Naona hii haituhusu sisi wanaume watu wazima!Tena nadhani mods sijui waanzishe jukwaa lao maana kila siku malalamiko kwa hao vijana,mara hawawafikishi kunako Mlima Kilimanjaro,kila siku kuna jipya kwa hawa vijana.

Msikimbie!!!! Inawahusu na nyie muwepo kuwaelekeza inapotakikana!!!! Si ni wadogo zenu au watoto wenu?
 
KUNA SIKU NILITOKA OUT NA MWANAUME KIJANA,KABLA HATA HATUJAFIKA SEHEMU HUSIKA AKAANZA KUJISACHI,MARA KIDOGO AKANIAMBIA BABY NIMESAHAU.......NILIPATWA NA HASIRA NIKAMSHUSHA NJIANI TENA ILIKUWA USIKU NA NDO UKAWA MWISHO WA UHUSIONO WETU....

Kumbe uhusiano wenu ulikuwa unarevolve around wallet ya dogo, sio eeh!? Hivi nyie ''mabinti vijana'' mtakua lini??
 
Hahahahahahaaaaaaaaaa nimecheeeeka dah anamtuma Olesaidimu kupambana na mwizi ye kajificha chini ya kitanda!!!!

nashangaa! Katoa kichwa tu dirishani anashadadia!!! Huyu itakuwa jirani zake wanagombana ye ndo kwanza anafunga mlango wa chumba chake alaf anachungulia dirishani!! Tehteh!
 
nyie ongeeni tu lakini ujumbe umefika,mwenye macho haambiwi ona,
mnapenda sana vya bure yani unalala na mwanamke tena nyumbani kwake anakupikia na chakula then humpi hata hela basi ya sabuni ya kujisafisha,kweli wanaume wameisha yamebaki masuluali,mmesikia hiyo misharubu yenu na mindevu ni urembo tu,mwanaume pesa and without money no love
 
hawajui mashine inahitaji service


Wasichana wengi ni kama wanajiuza,ni ngumu kuwatofautisha na makahaba wale wa viwanja namna 'mtazamo' wao kuhusu pesa ya mwanamme unavyofanana
 

We uko kibiashara zaidi, kumbuka ule uzi wako ''wanaume wote niliowahi ku do nao hawakunifikisha kileleni.'' huyu aliesahau walet alikupatia kweli.
 
Vijana tutakoma!

Hakuna kukoma!!! Kaza buti, badala kutwa nzima kushinda vijiweni bila shughuli ya kufanya, utatafuta tuuu! Otherwise muendelee kujichua!!!
Nafurahi hii itawafanya pia kupunguza uzinzi, mtatulia kama huna hela mfukoni, ukimuona Aisha anakatiza we wageuka upande wa pili!
Mjini hata takataka unalipia....... hakuna bureeee.....
Shamba utalima viazi na mihogo utapeleka kwa mwanamke! Utaendesha baiskeli kumsaidia kubeba ndoo za maji...
 
huu mwaka lazima mbadirike,jitumeni kaka zangu la sivyo mtaambulia machoni tu

tena siku hizi mmekuwa omba omba sana,omba omba wengi mjini sikuizi ni wakiume hii yote ni sababu ya uvivu na kukimbia umande
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…