huu mwaka lazima mbadirike,jitumeni kaka zangu la sivyo mtaambulia machoni tu
tena siku hizi mmekuwa omba omba sana,omba omba wengi mjini sikuizi ni wakiume hii yote ni sababu ya uvivu na kukimbia umande
....Ya kwake ilikuwa nyeupeeee ina vipodozi tu na nanihiii ya kunanihii lol!!!!
Aaaaghr kumbe wallet mbona tatizo dogo sana ingekuwa amesahau DUME hapo ningekuelewa malalamiko yako.
huuuuuuu leo baba nanihiii umekuwa mkali sana...... Nimeogopa na bakuli nalifunga....
kugawa mbunye si starehe ila kumake use ya hiyo mbunye uliyogawiwa ndio starehe unaipatia hapo
Naona hii haituhusu sisi wanaume watu wazima!Tena nadhani mods sijui waanzishe jukwaa lao maana kila siku malalamiko kwa hao vijana,mara hawawafikishi kunako Mlima Kilimanjaro,kila siku kuna jipya kwa hawa vijana.
Mnaboa sana nyie wanaume vijana,yani hamna maana,hamna lolote ndo maana tunawaacha,mnakwepa majukumu yenu,ndo maana vibabu vipo kwenye chat na tutazidi kuvisifia jinsi vilivyo makini,
KUNA SIKU NILITOKA OUT NA MWANAUME KIJANA,KABLA HATA HATUJAFIKA SEHEMU HUSIKA AKAANZA KUJISACHI,MARA KIDOGO AKANIAMBIA BABY NIMESAHAU WALLET HALAFU SIO MARA YAKE YA KWANZA,HALAFU KAPANDA GARI YANGU NILIPATWA NA HASIRA NIKAMSHUSHA NJIANI TENA ILIKUWA USIKU NA NDO UKAWA MWISHO WA UHUSIONO WETU ,
NARUDIA KUSEMA WANAUME MNAOPENDA MTEREMKO TUMEWAGUNDUA,HATUTAWAENDEKEZA.
DOCUMENT KWANZA MZIGO BAADAE
Kwa kweli umejidhalilisha kwenye Front page.Umetuonyesha ni jinsi gani ulivyo "kubuhu" ila umesahau kutujuza kuwa unauza BEI gani? "Delete Futa Kabisa".:thumbdown::thumbdown:
Hivi kumbe wanawake wa humu wengi ni makahaba ee??? Ona jinsi wanavo tetea huu upuuzi!
Nakubaliana nawe hundred percent ndg..
Anauza huyu ye atuambia ni Bei gani tu,ikiwezekana atudokeze kabisa Papuchi yake ina milio aina Gani ya Nokia au Samsung