Tumesikia, tutawafikia.Mumesikia nyie wanaume vijana?
Umeona eeeh!?asavali amesahau...
Namulika mwizi mamy!!!
Nyama anauza kutwa kwenye container watu watajuaje sasa kama ni give away price!!!????
Hawa enzi za ujana pale Congo bar ni unamtia hela feki tu akasanuke nazo mbele ya safari huko!!!
U gud lakini???
wataje bei hapa....sio ohh mimi sijiuzi.. na kila siku vibomu
Sijambo mkaka!!! Habari ya blue Monday?
hawajui mashine inahitaji service
Mnaboa sana nyie wanaume vijana,yani hamna maana,hamna lolote ndo maana tunawaacha,mnakwepa majukumu yenu,ndo maana vibabu vipo kwenye chat na tutazidi kuvisifia jinsi vilivyo makini,
KUNA SIKU NILITOKA OUT NA MWANAUME KIJANA,KABLA HATA HATUJAFIKA SEHEMU HUSIKA AKAANZA KUJISACHI,MARA KIDOGO AKANIAMBIA BABY NIMESAHAU WALLET HALAFU SIO MARA YAKE YA KWANZA,HALAFU KAPANDA GARI YANGU NILIPATWA NA HASIRA NIKAMSHUSHA NJIANI TENA ILIKUWA USIKU NA NDO UKAWA MWISHO WA UHUSIONO WETU ,
NARUDIA KUSEMA WANAUME MNAOPENDA MTEREMKO TUMEWAGUNDUA,HATUTAWAENDEKEZA.
DOCUMENT KWANZA MZIGO BAADAE
yeye kila mtoko anasahau wallet ng'astuka tena angemshusha kwa makofi.
Wanaume mchelemchele shida sana
kama huwezi kulipia outing hata familia hutaweza kuihudumia
ndo ujue maana ya uanaumeMm demu wangu kila siku huwa ananiambia "baby I love u for really"lkn ukipiga hesabu za vibomu kwa week afadhali tu uende Jolly
ukabebe mzoga!
Jioni kwenye simu utasikia"baby pitia hapo niletee king'amuzi kipya"!Technically hata sisi wenye permanent hatupo salama!
Anaekutoa out na mkatumia utakavyo hatakuja kulipa rent/ada mbele ya safari!
acha fikra potofu.
Hivi mtu akikulipia rent/ada hamuwezi siku mkaamua kutoka kuchill mahali au kupunga upepo,music.
Basi mpenzi wangu katoka sayari ya mars maana outing kibao,basic needs kama kawa na ya maendeleo anafanya.
Wewe ndo wale mke anakaa hata kutoka kuchill hamtoki loo