Nimerudi wajameni, hebu tuanze na hii

Nimerudi wajameni, hebu tuanze na hii

Baba V

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2010
Posts
19,479
Reaction score
9,551
Niliwa miss sana, kwa sababu mumewe King'asti hatabiriki naomba nitangaze yale niliyokuwa nimeahidi kabla sijavutwa shati tena.

1. Ndoa ya mfano wa kuigwa hapa chit chat ni ya measkron na watu8 .Hii imedumu kwa muda mrefu bila kokoro wala chokochoko. Kwa kweli wamekuwa ni mfano wa kuigwa na makofi kwao tafadhali.

2. Nafasi nyingine ni ya mwanamke asiyetulia na mume. Hii inakwenda moja kwa moja kwa Madame B , huyu ndani ya kipindi cha miezi sita ameweza kuwa na uhusiano wa dhahiri na Ruttashobolwa , Chilli, tedo, Chimbuvu, Ben Saanane na kiplagati26. Ukiacha wale wa siku nyingi akina Arushaone.

3. Nafasi nyingine ni kwa mwanaume aliyetongoza zaidi pasipokujali alifanikiwa au alikula kibuti, hii anaichukua Vin Diesel ,huyu ndani ya miezi miwili iliyopita ametongoza zaidi ya mabinti na akina mama 40,baadhi kama KOKUTONA na Mamndenyi alipita akacharaza na kusonga mbele, wengine alizua sokomoko kwenye ndoa za watu ikiwemo ya Arabela.

4. Pia nafasi nyingine ni ya CHIT CHAT SENIOR BACHELOR &SPINSTER. Hii inawaendea Nicas Mtei na kyanaKyoMuhaya respectively, hawa pamoja na uwepo wao wa muda mrefu hapa bado habari zao za mahusiano na mapenzi hazijawa bayana na wanastahili tuzo hii.
Napenda kuchukua nafasi hii kumpa pole mzee mwenzangu Mtambuzi kwa yale yaliyomtokea Mwanza. Ndo uanaume baba ni heri ufumaniwe kuliko kuzushiwa na muuza ubuyu kuwa watoto uliozaa na Mama Ngina ni kazi ya uanaume wake, angalau sasa tuna uhakika kuwa ni wanao kweli,

Pia nitumie fursa hii kumsihi ODM babu Asprin kuongeza kasi ya ukaguzi kwani kumekuwa na ongezeko la members ambao hawajakaguliwa kiasi wanatuchanganya wazee.

Nitarudi na Jf udaku March edition baada ya kuwasiliana na Bishanga TANMO na Elizabeth Dominic.
INSHALLAH KAMA SITAKUWA NIMERUDISHWA "BAN INN" (maana wameshaona fasheni)
 
Last edited by a moderator:
Baba V hahhahah.Point of correction Madame B ni wangu peke yangu

my-love-ecard.jpg

............ Ben Saanane
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Ben Saanane laiti ungeperuzi nyuzi zilizopita ungeona Madame B ni wa nani!! Hapo alipo kwanz keshaanza kukuchoka!

Wamlalamikia Baba V?

Utasubiri sana Meli Airport.........., Wewe si umejidai kuniacha na kumfuata KOKUTONA?, Kiko wapi sasa............!!!!!!!!!!

MMMMwaaah!

Thank you my cupcake Madame B.Maliza kuvaa haraka tutoke....

Naja sasa hivi Darling.............
ngoja nivae kiwalo

Arushaone acha wivu,unataka ili nikasirike nimuache?Mtasubiri sana

Afu mie hata Siachiki.............au sio mme wangu

Siyo bure kuna JAMBO!

Ushawekwa kwenye chupa wewe Ben Saanane!
Arushaone my X wangu, kwani bado unanitaka????
CC: Ben Saanane
 
Last edited by a moderator:
Niliwa miss sana, kwa sababu mumewe King'asti hatabiriki naomba nitangaze yale niliyokuwa nimeahidi kabla sijavutwa shati tena.

1. Ndoa ya mfano wa kuigwa hapa chit chat ni ya measkron na watu8 .Hii imedumu kwa muda mrefu bila kokoro wala chokochoko. Kwa kweli wamekuwa ni mfano wa kuigwa na makofi kwao tafadhali.

2. Nafasi nyingine ni ya mwanamke asiyetulia na mume. Hii inakwenda moja kwa moja kwa Madame B , huyu ndani ya kipindi cha miezi sita ameweza kuwa na uhusiano wa dhahiri na Ruttashobolwa , Chilli, tedo, Chimbuvu, Ben Saanane na kiplagati26. Ukiacha wale wa siku nyingi akina Arushaone.

3. Nafasi nyingine ni kwa mwanaume aliyetongoza zaidi pasipokujali alifanikiwa au alikula kibuti, hii anaichukua Vin Diesel ,huyu ndani ya miezi miwili iliyopita ametongoza zaidi ya mabinti na akina mama 40,baadhi kama KOKUTONA na Mamndenyi alipita akacharaza na kusonga mbele, wengine alizua sokomoko kwenye ndoa za watu ikiwemo ya Arabela.

4. Pia nafasi nyingine ni ya CHIT CHAT SENIOR BACHELOR &SPINSTER. Hii inawaendea Nicas Mtei na kyanaKyoMuhaya respectively, hawa pamoja na uwepo wao wa muda mrefu hapa bado habari zao za mahusiano na mapenzi hazijawa bayana na wanastahili tuzo hii.
Napenda kuchukua nafasi hii kumpa pole mzee mwenzangu Mtambuzi kwa yale yaliyomtokea Mwanza. Ndo uanaume baba ni heri ufumaniwe kuliko kuzushiwa na muuza ubuyu kuwa watoto uliozaa na Mama Ngina ni kazi ya uanaume wake, angalau sasa tuna uhakika kuwa ni wanao kweli,

Pia nitumie fursa hii kumsihi ODM babu Asprin kuongeza kasi ya ukaguzi kwani kumekuwa na ongezeko la members ambao hawajakaguliwa kiasi wanatuchanganya wazee.

Nitarudi na Jf udaku March edition baada ya kuwasiliana na Bishanga TANMO na Elizabeth Dominic.
INSHALLAH KAMA SITAKUWA NIMERUDISHWA "BAN INN" (maana wameshaona fasheni)

Karibu tena Baba V. Nashukuru kwa tuzo yako.. Mi bado nipo nipo. Siku nkiaga ukapera ndo itakuwa jumlajumla.
 
Last edited by a moderator:
Utasubiri sana Meli Airport.........., Wewe si umejidai kuniacha na kumfuata KOKUTONA?, Kiko wapi sasa............!!!!!!!!!!

Naja sasa hivi Darling.............
ngoja nivae kiwalo

Afu mie hata Siachiki.............au sio mme wangu

Arushaone my X wangu, kwani bado unanitaka????
CC: Ben Saanane

Nakusaka sana hewan sikupati. Hebu nitafute
 
Last edited by a moderator:
Sijui nikupe pole?
Mbona hujaniaga kule jela,umetoroka kimya kimya ilhali mimi ndio nilikuwa napigania upate uji?
Tulikukosa kimwili,kiroho tulikuwa wote humu humu.
CC
Andindilile Dr.zero Sefet Ndelejha,@naonewa and many others!!!!
KHA!
 
Mkuu si unajua tena pale ukiona tu geti liko wazi unachomoka kwa mwendokasi mtoroko, nakusubiri uraiani mkuu kama sijarudishwa huko hivi karibuni, nafurahi kuonana na wadau
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom