Weera weraaaa
JF-Expert Member
- Feb 15, 2013
- 740
- 657
Mkuu si unajua tena pale ukiona tu geti liko wazi unachomoka kwa mwendokasi mtoroko, nakusubiri uraiani mkuu kama sijarudishwa huko hivi karibuni, nafurahi kuonana na wadau
Dah!
Ukirudi huku utanikuta ni mnyapara kabisa,maana mme wa King'asti amegoma kunifungua kabisa!
Last edited by a moderator: