Bishanga
JF-Expert Member
- Jun 29, 2008
- 15,321
- 10,140
Arifu una aleji na Mamod? Mbona Ban zinkuandama hivi?
Hadi tunapatwa na wasiwasi kama utamudu kulisimamia vyema JF Udaku.
Manake wewe kila kukicha uko Banini....
Copy: Bishanga na Elizabeth Dominic.
TANMO kuonekana kwako nadra....unaua gazeti
Last edited by a moderator: