Nimerudi wajameni, hebu tuanze na hii

Nimerudi wajameni, hebu tuanze na hii

heee! Baba V mimi na Ruttashobolwa
ni mfano wa kuigwa mbona umetusahau?

Afu wewe nimepata habari zako na Tonykp, nahitaji maelezo ya kina kurasa kumi na nane, font style iwe Times New roman size 8 uweke na footnotes kwa ajili ya ufafanuzi zaidi. Kumbe nikienda kusalimia kidogo ban ninyi huku mnaharibu. Mtanitambua
 
Last edited by a moderator:
hahahahaa................. Now niko Vod na Hiyo.
Ngoja niku PM.
CC: Baba V................ Nicas Mtei ni Kaka-binamu wangu, Manake huna dogo.




........................Maneno ya Mkosaji.

Nye..! Nilikosa nini kwako? Majanga!?
 
Last edited by a moderator:
Atawa taja kwenye matangazo ya vifo usijali

afu wewe..!! Nakumbuka sana ban uliyonisababishia kule siasani,. Ngoja, utakuja uje,labda usitake kupata mchumba au mke hapa,ndo utajifunza kumuheshimu mwenyekiti
 
Ila mkuu shavu lime kutoka au siku hizi kitu cha ulezi?

maharage ya jela yalinipenda baada ya ile ban uliyonisababishia. I will catch you here here
 
mh jaman me nlitegemea my couple iwe the best. watu8 mbona ana watoto nje?

Ya kwako majanga matupu, maana yule mumeo kila siku kupiga watu mikwara humu,mara ametembea toka Kimara hadi Kariakoo,mara atawapiga ngumi, ili mradi vitisho vitupu
 
Last edited by a moderator:
Ya kwako majanga matupu, maana yule mumeo kila siku kupiga watu mikwara humu,mara ametembea toka Kimara hadi Kariakoo,mara atawapiga ngumi, ili mradi vitisho vitupu

Ingia.anga.zangu.uone.na.sasa.nipo.kwa.matumla.naongeza.ujuzi.
 
utajiju.gif_480_480_0_64000_0_1_0.gif
............. Baba V

Kopi aione Chimbuvu.......kudadadadadadeki!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom