Humu Chit Chat kiboko, mpaka sasa sijaona aliye single wakujidai naye, wote wako booked.........!!
Kumbe hauko single??mnaachana lini???
Mh! Nini?
Hebu fuata nyayo zangu wewe.
N'takupa radhi uokote makopo.
Kule naogopa BAN....by the way anaitwa nani?nenda kule siasani kuna bi shosti mmoja kaingia kwa mbwembwe juzi juzi tena anasimamia mambo ya kujenga nyumba ukwamuwahi kama Mwita Maranya atakuwa hajakuwahi.
Binamu Madame B huyo aliyetoka mtwara si anafaa maana katoka kwenye machimbo ya gesi na uranium wewe muwahi zikiwa za moto
Ben Saanane mpaka akaokoteze za kampeni utakuwa ushmfaidi Nsuri balaa
Katavi kaa mbali kabisa na Mamndenyi kama hutaki ban au kucha na meno yako unayapenda
Hapo chachaa...mi penda sana wewe