Nimerudi Naombeni Mwongozo......

Hivi wewe Nsuri unatafuta ban au untaka nikuweke kwenye list ya most wanted na kucha zako na meno yako tuyatoe bila ganzi
Mwache Mamndenyi wangu kabisa wala usimguse
Copy binamu zangu Paloma na Madame B

Copy nimeipata binamu yangu,
ila mwambie Nsuri aandike wosia kbs.
Maana endapo atanimendea tu, Kwake hatabaki hata Panya wala mjusi.
 
Last edited by a moderator:
Humu Chit Chat kiboko, mpaka sasa sijaona aliye single wakujidai naye, wote wako booked.........!!
 
Binamu Madame B huyo aliyetoka mtwara si anafaa maana katoka kwenye machimbo ya gesi na uranium wewe muwahi zikiwa za moto
Ben Saanane mpaka akaokoteze za kampeni utakuwa ushmfaidi Nsuri balaa
Katavi kaa mbali kabisa na Mamndenyi kama hutaki ban au kucha na meno yako unayapenda
 
Last edited by a moderator:

Shemeji yangu sosoliso n'take radhi fasta.
Ben Saanane sio kidumu ni Mume wangu Halali.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…