Nimerudi Naombeni Mwongozo......

Hahaahaaa
Hujui Kipipi hapendi ndofu labda tuzichape kimyakimya hahhahaa
Bora Chocs anaonja hadi Godons kwikwiii
Ntakuarifu

Erickb52 we hujui namna ya kunywa ndyofu unamaliza halafu unatafuna big gee kwa wingi unaua soo. Chocs hatajua wala Kipipi bana
Mamndenyi habari za kwako
Msalimie sana Dena Amsi binamu yangu na Paloma na Madame B na Passion Lady
Mwalimu wangu @gifsonwin na snowhite sijui wamepotelea wapi na mpendwa wangu wa zamani sweetlady na dada yangu ladyfurahia na dada mkubwa Blaki Womani na Preta sijui wamepotelea wapi
 
Last edited by a moderator:
kwahiyo unanituma salamu niwapelekee wake wenzangu au
lugha imekuwa ngumu kwangu kidogo hapa.

 
kwahiyo unanituma salamu niwapelekee wake wenzangu au
lugha imekuwa ngumu kwangu kidogo hapa.

Mamndenyi hizo ni salam tuu kwa marafiki wala sio wake wenzio. Mimi nina mke mmoja tuu Mamndenyi ila nina mabinamu wengi sana na dada wengi pia ambao ni wifi zako ubaya hapo ni nini sasa
Achana na Arushaone atakupoteza
 
Last edited by a moderator:
Mamndenyi habari yake bana. Hivi umeanza lini kujifundisha uchonganishi? wewe si unafahamu kabisa kuwa mimi nina mamsapu wangu wa ukweli mwaJ, sasa huu uchonganishi unatoka wapi tena?

Najua Mamndenyi ananitafuta ugomvi maana hajanisikia siku nyingi. Bahati mbaya hawezi kunipata maana mambo ya ugomvi ugomvi nilishayaacha siku nyingi.
 
Last edited by a moderator:
Arushaone aliniacha zamani sana tena halina ubishi,
nitaanzaje tena,

Salamu tuu???

Mamndenyi ni salam tuu na waambie nimewamiss sana binamu zangu na dada zangu nikipata nafasi nitaenda kuwatembelea.
Ila Arushaone hajakata tamaaa na nimenasa barua yake akitaka kuituma kwako eti anataka mrudiane
mwaJ mzima wewe sijakutia machoni siku nyingi wewe umepotea kama chozi la kuku
 
Last edited by a moderator:

binamu Mr Rocky, ina maana anti zako wooote walitotolesha mabinamu wa kike tuuu...............hamna dume hata mmoja? eti Mamndenyi?
 
Last edited by a moderator:
Katavi mwalindauli taitu kalesa
Mhhh nakumbukia miaka yangu pale Kanta aise mitaa a polisi na chanji na kizitwe na mazwi na majengo na stand pale balaa

Dogo eleza vizuri habari ya Kanta,na wewe ulipita pale?ulishawahi pita kidedi usiku,ushawahi toroka usiku kwenda kuangalia porn chanji,ngano ushawahi kunywa,sekenke je? Headmaster wenu alikuwa nani?
 
Last edited by a moderator:
binamu Mr Rocky, ina maana anti zako wooote walitotolesha mabinamu wa kike tuuu...............hamna dume hata mmoja? eti Mamndenyi?

Paloma mi vidume nivisalimie vya nini havina deal bana ndo maana nimevitupa kule sina mpango navyo
Kwanza binamu wa aina yako wana faida sana ndo maana siachi kuwa karibu na nyie eti
 
Last edited by a moderator:
Dogo eleza vizuri habari ya Kanta,na wewe ulipita pale?ulishawahi pita kidedi usiku,ushawahi toroka usiku kwenda kuangalia porn chanji,ngano ushawahi kunywa,sekenke je? Headmaster wenu alikuwa nani?

Baba V ndo manake aise kwenda chanji kuangalia mambo ya kikubwa na kwenda kunywa ngano mitaa ya huko na kutorokea kule bondeni kwenda kula miwa na wakati wa shida ya maji kwenda kukata nanihiii kwenye mashamba ya watu ng'ambo ya shule au pale chuo cha ualimu
 
Last edited by a moderator:
Baba V headmaster alikuwa Millinga bana na alikuwa na mtoto wake pale olevel na ilifika jumapili mke wake anatutolea ka tv ka nyumbani kwake anatuwekea mikanda ya kwaya za South Africa balaa
Katv kenyewe inch 14 sasa hapo mmejazana kinoma bwaloni kama sio unaangalia kwa jicho moja maana tupicha tunaonekana tudogo
 
Last edited by a moderator:
Paloma mi vidume nivisalimie vya nini havina deal bana ndo maana nimevitupa kule sina mpango navyo
Kwanza binamu wa aina yako wana faida sana ndo maana siachi kuwa karibu na nyie eti


nitajie faida japo mbili tu tafadhali
Mr Rocky nahisi ntabanniwa kuna lijitu linanichefua hapa....nishike tafadhali nna hasira naweza ng'oa mtu masikio kwa meno................
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…