Nimerudi Naombeni Mwongozo......


Huna mpinzani Judgement
 
Last edited by a moderator:
Kwani Paloma hunifahamu?Hujamchoka huyu bounsa cjui sosoliso???


nikufahamu una umaarufu gani? katika fani gani? Nsuri wala sina haja ya kukufahamu!
nina haja ya kumfahamu, kumuelewa na kumjua my one and only you-so-call bounsa, babe yangu wa ukwe'e sosoliso
usiseme 'sjui' aitwa babe ya Paloma the only sosoliso in jf cc famile. Babe sosoliso I love you sana!!!
cc Erickb52
 
Last edited by a moderator:
We Acha tu.........
Mambo ya kumtoa mwali.....
Nimedimba si mchezo
Paloma angalia haraka naitoa.


eeeenh mmetokelezeaje! naona na shost mtu Billie (nimembatiza mie) aliwakilisha!!!!!! kwa raha zenyuuuuuu...........(hay aitoe nimeona)
 
Ha ha ha haaah!! Asante FirstLady1, majukumu tu ndio yanatufanya tupotee kiaina kama Husninyo anavyoingia humu kwa ku-dip....oooh shit sorry, KUBEEP...

heheheheheh, halafu ulikuwa wapi wewe? huwa naenda mpaka jukwaa la dini ila holaaa, bado kidoncho niingie jukwaa la wakubwa kukutafuta ila nikakumbuka wewee upo < 18.
 
Last edited by a moderator:
Paloma unaninyanyapaa sababu ya sosoliso??? c atakuchoka tu??utanikuta hapahapa!!!!
 
heheheheheh, halafu ulikuwa wapi wewe? huwa naenda mpaka jukwaa la dini ila holaaa, bado kidoncho niingie jukwaa la wakubwa kukutafuta ila nikakumbuka wewee upo < 18.
ha ha ha haaah!! Mimi nipo nilikuwa nimeweka kambi jukwaa la sports........jukwaa la wakubwa huwa naingia kwa kuibia maana Kaka mkubwa Invisible alinipa ufunguo kimakosa, ila hii ni siri yako ole wako nifungiwe nitajua wewe ndio umepeleka umbea.....
 
Last edited by a moderator:
Paloma unaninyanyapaa sababu ya sosoliso??? c atakuchoka tu??utanikuta hapahapa!!!!
Kaka humu ndani ni full kunyanyapaana, kama huna wako ulie tu......bora mimi nimemuona Husninyo nimefarijika....(sijui yule jamaa aliyem-dedicate wimbo juzi kasikia, asije akaning'oa kucha, meno na jicho......)
 
Last edited by a moderator:

I love u too my beautiful Princess Paloma.. duniani na akhera hiyo..

cc Erickb52..
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…