Nimerudi lunch eti wife kampa chakula mgeni

Nimerudi lunch eti wife kampa chakula mgeni

hope unajua unachokisema maana!!! kwanini usianzishe ya kwako na babu zako mkaweka hayo masharti? unaanza tabia zinazopelekea kuwa mchawi at that age!!

Bado hujala tu?

Manake una hasira zisizo na maana.

cc Eiyer.
 
Last edited by a moderator:
Pole mkuu,ila hapo inategemea ni mgeni gani,labda alimkuta anakula akaona aibu akamgawia na yeye.Au labda we huwa hutabiriki sometimes huendi lunch akaona arahisishe mambo,au alikuwa mtaani huko akachelewa kupika anasingizia mgeni.

Ila inaonekana mkuu we hununui hata mboga iweje chakula chako apewe mgeni!usikute mgeni ndo anahudumia hapo kwako we unafurahia tu msosi unaokula!

aaaanhahaa!! hilo nalo neno
 
Jisajili BURE na huduma ya Tigo Kilimo!Piga *148*14# chagua NAMBA 1 kisha fuata maelekezo. Na anza kupata ushauri wa kilimo cha MAHINDI,BANGI, MPUNGA,MIHOGO n.k BURE!
 
Jisajili BURE na huduma ya Tigo Kilimo!Piga *148*14# chagua NAMBA 1 kisha fuata maelekezo. Na anza kupata ushauri wa kilimo cha MAHINDI,BANGI, MPUNGA,MIHOGO n.k BURE!

Hahahaaaa, hilo zao la BANGI umeongeza mwenyewe.
 
Aisee mi mume kwanzaa, hata aje mgenu ganii sitoi chakula cha mme wangu,ntampikia kinginee
 
Aisee mi mume kwanzaa, hata aje mgenu ganii sitoi chakula cha mme wangu,ntampikia kinginee

Angalau wewe unafaa kwani unatumia hekima. sio wengine wanashabikia wageni walafi tu. wasiambiwe karibu amekaa hata kama yakuzuga.
 
Ugali ukishasongwa hauwezi kurudi kuwa unga
Hivi unajua kuwa JF inalemaza hawa watoto?

Yaani kila kitu kikitokea huko mtaani au kwenye ndoa/mahusiano mtu anakurupuka kuja kuomba ushauri au suluhu hapa hata kwenye mambo ambayo angeweza kutumia akili ya kale ka mtetea kako pale nyumbani na angepata suluhu

Haya wapeni ushauri tu!
 
nyumba inayopata wageni ni nyumba yenye baraka

Na kwa nyumba hii hizo baraka zinakuja kwa uwepo huyo mwanamke mwema maana mtoa mada inaelekea akisikia hodi anakunja sura!!!
 
Muambie mai waifu ake asonge ugali fasta fasta, nenda dukani/supermarket chukua mtindi urudi.

Hongera kwa kuwa na mwanamke asie mchoyo. Leo ni mgeni tu, siku nyingine utakuta ni mama yako mzazi na utamshukuru na kumpenda kwa hilo.

eksi kidumu, nakumisi mpaka nimeku mrs ujue, nikuchekeshe, kule nilikokua kuna mijitu ilikua haijui ugali kwa mtindi inashangaa eti unakulaje ugali na maruwa.hehehe
 
Nauliza chakula vipi anasema alikuja mgeni akawakuta wanakula so akapewa hotport la baba mwenye nyumba. Sasa hata nguvu ya kurudi kazini sina na ujue asubuhi nimepiga ndefu. Mahwelu
Wewe ni mwanamke au msichana?
 
hapana mkuu ni mtu tu kaja, kwani kati ya mgeni na mimi nani zaidi? chakula ninunue mimi alafu nipigwe chini kuna haki hapa?
Watoto utawajua tu. Wanaenda kucheza cheza kwa jirani njaa ikiwatandika wanarudi nyumbani kula kama paka. Watoto wakikosa chakula nyumbani wanalalamika hao mpaka wanasusa. Acha kulialia wewe sio lazima kila siku ule alichopika mkeo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom