Nauliza chakula vipi anasema alikuja mgeni akawakuta wanakula so akapewa hotport la baba mwenye nyumba. Sasa hata nguvu ya kurudi kazini sina na ujue asubuhi nimepiga ndefu.
Mahwelu
========UPDATES====
Leo Mambo mazuri ndio nimefika na ugari wangu na taa umekaa vizuri. ndoa ni mambo kama haya hadi napenda kurudi kula home, mnaokula kwa Mama lishe poleni sana .. my wife ni mjuzi simuachi Ng'ooo . Jamani poleni yaliyopita sindwele!!!
Nikirudi nafuata kitenge cha mei mosi nimpatie my wife wangu kwani kanifurahisha.