Kijana leo
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 2,860
- 812
sasa umeleta post JF, ili iweje? yani nahisi huko tunapoelekea mtu akienda kukata gogo atakuja kupost hapa kuwa gogo limegoma kutoka jamani nifanyeje? sasa si umwambie wife wako akusongee ugali au kale vijiweni, kuliko kuleta hapa au huku kuna mkeo? na umepata nini sasa baada ya kuweka hapa? njaa imeisha au?