Nimerudi lunch eti wife kampa chakula mgeni

Nimerudi lunch eti wife kampa chakula mgeni

Nikipata mwanaume wa dizaini hii naomba talaka mapema bora kuwa single ama kuwa na kavulana kujua kabisa huyu mvulana na siyo mwanaume...mtu aje nyumbani mnakula unaweka tonge mdomoni..eeh habari ya huko utokako,tonge la pili eeeh wanao wazima..tonge la tatu.....khah!chakula uje umtangaze mkeo hapa!!.....
 
Huyu jamaa karithi baba yake atakuwa alikuwa anafunga nyama kiunoni kabla yakupika huyu
 
Nikipata mwanaume wa dizaini hii naomba talaka mapema bora kuwa single ama kuwa na kavulana kujua kabisa huyu mvulana na siyo mwanaume...mtu aje nyumbani mnakula unaweka tonge mdomoni..eeh habari ya huko utokako,tonge la pili eeeh wanao wazima..tonge la tatu.....khah!chakula uje umtangaze mkeo hapa!!.....

Ukitekeleza wajibu wako, am fine huenda unawazia kupata kama mimi tupo wachache tu.
 
hapana mkuu ni mtu tu kaja, kwani kati ya mgeni na mimi nani zaidi? chakula ninunue mimi alafu nipigwe chini kuna haki hapa?

acha uchoyo bana, kubali yaishe songa mbele, chakula ni nini?? rudi kazini lisongeshe.
 
Watu wanapenda kila jambo linalotokea majumbani mwao na wengine walijue.

Watu mna midomo khaa, sa mbona nyie huwa hampost mmekaa kucomment tu? Aaagh kama unakerwa huna haja ya kupoteza mda kuandika comment
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom