Chocs
JF-Expert Member
- Aug 21, 2012
- 8,447
- 4,842
hapana mkuu ni mtu tu kaja, kwani kati ya mgeni na mimi nani zaidi? chakula ninunue mimi alafu nipigwe chini kuna haki hapa?
Ndugu zangu hamjui tu inauma chakula nitafute mwenyewe na nanyimwa. poa tu najua nanyi yatawakuta tu. Mimi huwa namwambia ukipakua weka chumbani, sasa ona.
ANALALAMIKA SANA HATA VITU VYA KAWAIDA..
![]()
kwanza hatukuwa na ratiba ya mgeni pia kwao kwani hali. angekula kwao akaja. mimi cjawahi kula kwao.aaaa vibaya hivyooo kwa hivyo ukinunua chakula ndo wagen wasipewee??
ilikuwa zamani na huenda msemo huo ulitolewa na wanaopenda kula vya wenzao. laghai tupu.nyumba inayopata wageni ni nyumba yenye baraka
zipo but choka mbaya hapa sina hata gwalaHotel huko ulipo hakuna?? nauliza tu.
masai dada mambo naomba niku pm
Mkuu hebu mkague fasta...huyo mgeni kala tu chakula au kamkula na yeye!!
hapana mkuu ni mtu tu kaja, kwani kati ya mgeni na mimi nani zaidi? chakula ninunue mimi alafu nipigwe chini kuna haki hapa?
Nauliza chakula vipi anasema alikuja mgeni akawakuta wanakula so akapewa hotport la baba mwenye nyumba. Sasa hata nguvu ya kurudi kazini sina na ujue asubuhi nimepiga ndefu.
Mahwelu
ilikuwa zamani na huenda msemo huo ulitolewa na wanaopenda kula vya wenzao. laghai tupu.