Nimeponyeka kutapeliwa na rafiki wa facebook

"Mwanamke mmoja wa kizungu aliniomba urafiki huko Facebook, nikakubali na akaruka inbox siku hiyo hiyo.

Alijitambulisha kwa jina la Dkt.Christina kutoka London, Uingereza. Akasema yeye ni daktari bingwa wa magonjwa ya watoto katika hospital kubwa huko London. Pia anapenda kumtumikia Mungu katika kufariji na kutoa misaada kwa wenye hali ya chini.

Pia akasema akipata likizo basi atakuja Tanzania kwa ajili ya kufanya utalii, hivyo nitakuwa mwenyeji wake na angependa kufikia nyumbani kwangu (hakujua Kama mimi ni baharia naishi chumba kimoja na mtungi wa gesi ndani).

Nikajibu karibu sana. Akaomba kunifahamu kiufupi, nikamueleza na kuanzia hapo tukawa marafiki.

Basi akaniachia email yake hapo messenger kwa maana alisema kuwa sio mtumiaji sana wa Facebook hivyo nitumie email kuwasiliana nae.

Tukawa tunawasiliana kwa njia ya email. Badae akafuta picha na akaunti ya Facebook. Siku moja akaniambia kuwa walikuwa na kikao Cha wafanyakazi hapo hospital na baadhi ya wafanyakazi waliofanya vizuri walipewa zawadi. yeye alikuwa ni mmoja wao. Alipewa zawadi za laptop Hp 2, smartphone (iPhone) 1, na TV LG 1. Kwa maana yeye hakuwa na uhitaji wa vitu, basi akapata wazo la kunitumia mimi Kama zawadi ya kudumisha urafiki wetu.

Nilifurahi sana nikajua ghetto langu linakuja kunoga.

Siku moja akasema amepata dharura na anaenda Hawaii hivyo hatokuja Africa. Lakini zawadi zangu amempa rafiki yake anayeenda Senegal, ambaye ni mtumishi aliyemtaja kwa jina la Sister Janneth. Akanipa na email ya huyo Janneth ili niwasiliane nae jinsi ya kupata zawadi zangu. Janneth alikuwa akija Senegal na jopo lake kwa ajili ya kuhubiri injili na kutoa misaada.

Niliwasiliana na Janneth na akaniambia nimtumie post address yangu ili atume mzigo. Utata ulikuja pale aliponiambia kuwa nimtumie $150 kupitia benki ya Western Union ili aweze kuusafirisha huo mzigo.

Daah nilijiuliza maswali mengi sana, sasa Kama hawa wanagawa misaada wameshidwaje kunilipia gharama za kuusafirisha huo mzigo? nikapata jibu kuwa hawa Ni matapeli wa kizungu. Nikamjibu kuwa hiyo hela sina, kama vipi uza laptop moja halafu hela ya mauzo itumie kutuma huo mzigo utakaobaki.

Kuanzia siku hiyo hakunitafuta tena
Duh mzungu Kwa kuwa uliona picha au? Kwa kuwa wewe ni mgeni wa issue za kimtandao na aina ya utapeli? Huyo siyo mzungu wala uchotara hana, hao ni akina Hash Puppy A.K.A wanaigeria. Huu utapeli wa tangu miaka ya 90+ wakati huo tunatumia saana messenger na skype
 
Nipe link ya huko mkuu. Kuna mzaha ulinitisha eti nikiingia huko laptop yangu ama simu vyote vitakufa.
Yeah if utakuwa hacked wanaweza kufanya wanachotaka!.. they can hack your phone camera so that they can capture your face,better be careful!..

Do you have a strong VPN..? Kule sio unaingia tu toilet na Kama utakuwa nawasiwasi camera yako ya mbele izibe pia angalia kifaa chako unachotumia Kama unajua Kuna taarifa zako nyeti go for your own risk!.. they can hack your PayPal account, email, Skrill n.k so nenda kwa tahadhari!.
 
Hapo sasa ni. Ekuelewa nipe link mkuu
 
Wapo wengi sana, mimi nilikutana na mtu anaitwa Hellen Williams huko Instagram, akaniambia anahudumu kama Afisa wa jeshi la Marekani huko nchini Syria,akanitumia na picha zake akiwa kazini. Baada ya muda aliniambia amepata kiasi kikubwa cha pesa ambacho amekisafirisha kupitia watoa misaada kama mzigo lakini hawajui kama huo mzigo ni pesa na kwamba hawezi kwenda nazo Marekani kwa ataulizwa amezipata wapi, hivyo anataka kuja Tanzania na aanze maisha mapya na mimi,nikajiuliza ataanzaje maisha mapya na mimi wakati sijamtongoza. Nilichomwambia ni kuwa huwa situmii fedha chafu kwa hiyo sizihitaji pesa zake. Baada ya hapo hakuwasiliana tena na mimi.
 
Ulikua na muda mwingi sana wa kupoteza kuchati nao hao, mimi zikija message za hivyo huwa na reply na porn moja chafu sana mtu akiliwa 0715.. tunapotezana hapo hapo
Mimi huwa naawaambia nafanya kazi kwenye taasisi ya uhalifu wa kimtandao huwa awatumi tena
 
Halafu ni kwa nini mkiwasiliana facebook wanataka mhamie kwenye email? Je, facebook wapo strong ku-detect matapeli? Manake naonaga akaunti zao zimefungwa baada ya muda mfup.
Chief-Mkwawa
 
Fb wana AI nzuri ndio wanaweza tambua utapeli ama scam. Kwa upande mwengine data zetu hazipo salama kule.
 
"Mwanamke mmoja wa kizungu aliniomba urafiki huko Facebook, nikakubali na akaruka inbox siku hiyo hiyo.

Alijitambulisha kwa jina la Dkt.Christina kutoka London, Uingereza. Akasema yeye ni daktari bingwa wa magonjwa ya watoto katika hospital kubwa huko London. Pia anapenda kumtumikia Mungu katika kufariji na kutoa misaada kwa wenye hali ya chini.

Pia akasema akipata likizo basi atakuja Tanzania kwa ajili ya kufanya utalii, hivyo nitakuwa mwenyeji wake na angependa kufikia nyumbani kwangu (hakujua Kama mimi ni baharia naishi chumba kimoja na mtungi wa gesi ndani).

Nikajibu karibu sana. Akaomba kunifahamu kiufupi, nikamueleza na kuanzia hapo tukawa marafiki.

Basi akaniachia email yake hapo messenger kwa maana alisema kuwa sio mtumiaji sana wa Facebook hivyo nitumie email kuwasiliana nae.

Tukawa tunawasiliana kwa njia ya email. Badae akafuta picha na akaunti ya Facebook. Siku moja akaniambia kuwa walikuwa na kikao Cha wafanyakazi hapo hospital na baadhi ya wafanyakazi waliofanya vizuri walipewa zawadi. yeye alikuwa ni mmoja wao. Alipewa zawadi za laptop Hp 2, smartphone (iPhone) 1, na TV LG 1. Kwa maana yeye hakuwa na uhitaji wa vitu, basi akapata wazo la kunitumia mimi Kama zawadi ya kudumisha urafiki wetu.

Nilifurahi sana nikajua ghetto langu linakuja kunoga.

Siku moja akasema amepata dharura na anaenda Hawaii hivyo hatokuja Africa. Lakini zawadi zangu amempa rafiki yake anayeenda Senegal, ambaye ni mtumishi aliyemtaja kwa jina la Sister Janneth. Akanipa na email ya huyo Janneth ili niwasiliane nae jinsi ya kupata zawadi zangu. Janneth alikuwa akija Senegal na jopo lake kwa ajili ya kuhubiri injili na kutoa misaada.

Niliwasiliana na Janneth na akaniambia nimtumie post address yangu ili atume mzigo. Utata ulikuja pale aliponiambia kuwa nimtumie $150 kupitia benki ya Western Union ili aweze kuusafirisha huo mzigo.

Daah nilijiuliza maswali mengi sana, sasa Kama hawa wanagawa misaada wameshidwaje kunilipia gharama za kuusafirisha huo mzigo? nikapata jibu kuwa hawa Ni matapeli wa kizungu. Nikamjibu kuwa hiyo hela sina, kama vipi uza laptop moja halafu hela ya mauzo itumie kutuma huo mzigo utakaobaki.

Kuanzia siku hiyo hakunitafuta tena

#watunastory
Uzi huu una maudhui haya HAPA

WatuNiStory
kutoka ukurasa wa W A T U
 
...Mkuu, Utakuwa ni Mgeni wa Mitandao!
Tena mshukuru sana Mungu kwamba huyo Tapeli hakufanikiwa kukuliza.
Ukiona binti ama Mwanamama anakuomba Urafiki kutoka Nchi za Duniani huko Shituka mapema.
Wengi ni Wanaijeria wezi tu!!
 
"Mwanamke mmoja wa kizungu aliniomba urafiki huko Facebook, nikakubali na akaruka inbox siku hiyo hiyo.

Alijitambulisha kwa jina la Dkt.Christina kutoka London, Uingereza. Akasema yeye ni daktari bingwa wa magonjwa ya watoto katika hospital kubwa huko London. Pia anapenda kumtumikia Mungu katika kufariji na kutoa misaada kwa wenye hali ya chini.

Pia akasema akipata likizo basi atakuja Tanzania kwa ajili ya kufanya utalii, hivyo nitakuwa mwenyeji wake na angependa kufikia nyumbani kwangu (hakujua Kama mimi ni baharia naishi chumba kimoja na mtungi wa gesi ndani).

Nikajibu karibu sana. Akaomba kunifahamu kiufupi, nikamueleza na kuanzia hapo tukawa marafiki.

Basi akaniachia email yake hapo messenger kwa maana alisema kuwa sio mtumiaji sana wa Facebook hivyo nitumie email kuwasiliana nae.

Tukawa tunawasiliana kwa njia ya email. Badae akafuta picha na akaunti ya Facebook. Siku moja akaniambia kuwa walikuwa na kikao Cha wafanyakazi hapo hospital na baadhi ya wafanyakazi waliofanya vizuri walipewa zawadi. yeye alikuwa ni mmoja wao. Alipewa zawadi za laptop Hp 2, smartphone (iPhone) 1, na TV LG 1. Kwa maana yeye hakuwa na uhitaji wa vitu, basi akapata wazo la kunitumia mimi Kama zawadi ya kudumisha urafiki wetu.

Nilifurahi sana nikajua ghetto langu linakuja kunoga.

Siku moja akasema amepata dharura na anaenda Hawaii hivyo hatokuja Africa. Lakini zawadi zangu amempa rafiki yake anayeenda Senegal, ambaye ni mtumishi aliyemtaja kwa jina la Sister Janneth. Akanipa na email ya huyo Janneth ili niwasiliane nae jinsi ya kupata zawadi zangu. Janneth alikuwa akija Senegal na jopo lake kwa ajili ya kuhubiri injili na kutoa misaada.

Niliwasiliana na Janneth na akaniambia nimtumie post address yangu ili atume mzigo. Utata ulikuja pale aliponiambia kuwa nimtumie $150 kupitia benki ya Western Union ili aweze kuusafirisha huo mzigo.

Daah nilijiuliza maswali mengi sana, sasa Kama hawa wanagawa misaada wameshidwaje kunilipia gharama za kuusafirisha huo mzigo? nikapata jibu kuwa hawa Ni matapeli wa kizungu. Nikamjibu kuwa hiyo hela sina, kama vipi uza laptop moja halafu hela ya mauzo itumie kutuma huo mzigo utakaobaki.

Kuanzia siku hiyo hakunitafuta tena

#watunastory
Utapeli wa kizamani sana huo, enzi za 2000. 😂😂
 
Punguza tamaa uchwara ndugu,
Huyo sio mzungu huyo ni Mnigeria hizo ndio ishu zao, Hujifanya either demu wa kizungu au Man wa kizungu kutapeli wetu.
 
Mkuu Mambo hayo yalikuwa mengi 2014 huko,daah kumbe Bado yapo maana wengine born Town kitambo tukiona message za namna hiyo tunazipuza tu na kuhifadhi mbs zetu za unga unga mwana.next Time mtu Kama huyo unamtumia tu clip ya mama Jay
 
Back
Top Bottom